The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Lakini mkuu mbona unamuhukumu kwani wewe jamaa unamfahamu physical?Mwandishi anauza vitabu vya jinsi ya kuwa tajiri ingawa yeye na masikini kama mimi, ni ile ya Mganga hajigangi
Kwani duniani hakuna waliouza vitabu wakawa matajiri au kwa sababu jamaa ni Mtanzania mwenzako unamchukulia poa?kuya-appreciate mawazo ya mwenzako nao ni utajiri so hata ulivyomkataa hapa hata hoja zake hapo juu umezikataa na hiyo ameiandika ktk hoja #6 rudi isome utaelewa.