Lakini mkuu mbona unamuhukumu kwani wewe jamaa unamfahamu physical?Mwandishi anauza vitabu vya jinsi ya kuwa tajiri ingawa yeye na masikini kama mimi, ni ile ya Mganga hajigangi
Kaa mbali na watu hao, usikubali yeyote awe kikwazo kwako kupata kile unachotaka kwenye maisha.mkubwa tatizo kitaa kuna vikwazo Vinci sana vinavyowekwa na watu wa karibu
Asante sana Mkuu,Lakini mkuu mbona unamuhukumu kwani wewe jamaa unamfahamu physical?
Kwani duniani hakuna waliouza vitabu wakawa matajiri au kwa sababu jamaa ni Mtanzania mwenzako unamchukulia poa?kuya-appreciate mawazo ya mwenzako nao ni utajiri so hata ulivyomkataa hapa hata hoja zake hapo juu umezikataa na hiyo ameiandika ktk hoja #6 rudi isome utaelewa.
Alisikika kapuku mmoja from koromijeNI ngumu kwa tajiri kuiona mbingu
Mwandishi anafananisha tajiri na mgonjwa mwenye kiribatumbo?😂😂😂 Ukosefu wa maono kabisa huu.Cover page yako sio sahihi ni kwamba unatuambia matajiri ni watu wenye vitambi na wanaovaa suti?
Tabia na mtazamo ni vitu vyenye nguvu sana kwenye maisha yetu.Sawa ngoja tubadili tabia na mitazamo tuwe matajiri.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo mkuu,Soft zipo?
Anakiuza ili awe tajiri zaidi.Mwandishi anauza kitabu ili awe Tajiri? Au anagawa Bure kwakuwa yeye tayari Ni tajiri?
Nje ya mada, mbingu yenyewe ipo?NI ngumu kwa tajiri kuiona mbingu
Utapigika dunian na motoni piaNI ngumu kwa tajiri kuiona mbingu