mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Kama wewe ukiugua haikutoshi basi sio tajiri. Ila kama mtu akiugua akatumia sh elf 10 kwenye matibabu yake ikamtosha basi yeye ni tajiriacha kupotosha mkuu ukiwa na laki 5 ukiugua si week tu imekata yote
Mkuu unaongea kumaanisha au kutania?Kama wewe ukiugua haikutoshi basi sio tajiri. Ila kama mtu akiugua akatumia sh elf 10 kwenye matibabu yake ikamtosha basi yeye ni tajiri
Basi wewe sema ni kiasi gani kinachoweza kumtosha mwanadamu kwa kila dharula itakayo mkuta. Mi nimesema laki 5Mkuu unaongea kumaanisha au kutania?
Ni matibabu gani hayo utafanya kwa elfu 10?
Hata kwa laki 5 tu, ukihitaji upasuaji mkubwa haitoshi chochote.
Cha muhimu ni kuacha kujidanganya kwamba utajiri ni kile unachoona kinakutosha, muhimu ni utajiri ni kile kinachowezesha maisha yako kwenda bila ya kukwamishwa na chochote, ikiwepo dharura mbalimbali unazoweza kukutana nazo.
Hakuna kiasi kimoja kinachoweza kuwatosha watu wote.Basi wewe sema ni kiasi gani kinachoweza kumtosha mwanadamu kwa kila dharula itakayo mkuta. Mi nimesema laki 5
Pata utajiri mkuu,Unauza kitabu Cha kutuelekeza njia za kua tajiri kwanini wewe usitumie hizo njia ili utajirike
Nauliza hivyo nikiwa Kama huyo mtu uliemchora ana kiraka kwa suruali
Learn more basi uwe tajiri baadaye ukiwa Kama mo ndio uje hapa utuambie. Mie nauliza wote waliosoma vitabu waliofanikiwa ndio. Samahani lakini Kama unajisikia vibaya Ila yabidi tutumie logic na sio emotionsso you need to learn more.
Halafu hili suala la kujenga nyumba limefanya watu wengi sana kuishia kuwa middle class au hata kuishi kwa shida.Ninakumbuka wajomba zangu wawili baada ya kupata mali za urithi kila mmoja alipata nyumba, yule Mmoja alianza kukodisha vyumba mpaka hii leo zaidi ya miaka 20 sasa maisha yake yamekua tegemezi hivyo. Yule mwengine aliuza nyumba ya kwanza akaanza kufanya biashara, Alilaumiwa sana na wanafamilia ila hakuwasikiliza, baada ya muda miaka kama mitatu mambo yakawa magumu biashara zilakwama akaamua kuuza na yapili, Kwa kweli jamii ilimuandama sana mpaka wakawa wanasema amerogwa, Ila jamaa hakurudi nyuma aliamini kwenye Biashara akiamini atafikia malengo yake. Hivi sasa jamaa ni MIlionea. Na yule kaka yake ambae aliekua anasambaza maneno kuwa jamaa amechanganyikiwa anauza nyumba sahivi kawa analalamika mitani kuwa Ndugu yake hamsaidii hali ya maisha ni ngumu.
Daa jamaa we mmbishi kinyama,mpaka unatia huruma asee kwa hii fixed mindsetLearn more basi uwe tajiri baadaye ukiwa Kama mo ndio uje hapa utuambie. Mie nauliza wote waliosoma vitabu waliofanikiwa ndio. Samahani lakini Kama unajisikia vibaya Ila yabidi tutumie logic na sio emotions