Mbona zamani walikuwa wanavaa magome ya miti hata hivyo mimi siungi mkono matumizi ya bidhaa za watu wengine inawezekana hapo ulipo unatumia simu aliyotengeneza mchina, chupi,kandambiki, mashuka tv,rm radio, (subwoofer), kwa ufupi chunguza vitu tunavyotumia vinatoka nje ya nchi inamaanisha mshamba wa nchini mwetu ni yulebanaye hakikisha nchi zingine zina neemeka kwa fedhabzetu, kwakweli ni ushamba uliokubuhu kutumia vitu vilivyo tangenezwa ama kuundwa na watu wengine badala ya vya kwetu
Ukoloni mambo Leo, (Neocolonialism), kwasasa tunatawaliwa kifikra na kiuchumi, tunatumia pia tekinolojia za watu wengine