Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Mpeni Elimu ndugu yenuUkiambiwa una viashiria vya uchoko utakataa, unaanza kukagua mavazi ya mwanaume mwenzako huo ni umama kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpeni Elimu ndugu yenuUkiambiwa una viashiria vya uchoko utakataa, unaanza kukagua mavazi ya mwanaume mwenzako huo ni umama kabisa.
Mshamba ni yue ambaye anaunga mkono ukoloni mambo Leo, (Neocolonialism), kwakutumia bidhaa wanazozitengeneza watu wengine badala ya kutumia bidhaa tunazo zalisha wenyeweKwa hiyo unataka tuendelee kuvaa magome ya miti.
Wewe tutakuvalisha shanga na dera la kijani , unawaza kike kike sana.Mpeni Elimu ndugu yenu
Kwani hilo koti kashonewa na wakoloni?Mshamba ni yue ambaye anunga mkono ukoloni mambo Leo, (Neocolonialism), kwakutumia bidhaa wanazitengeneza watu wengine badala ya kutumia bidhaa tunazo zalisha wenyewe
Sasa mimi na wewe nani mjinga. Au ndiyo yale yale ya mjinga kujiona yuko sawa ila walio timamu anawaona ndiyo wajingaMimi siyo mjinga kama wewe
Ukweli unauma najua unaumia kimoyo moyo.Wewe tutakuvalisha shanga na dera la kijani , unawaza kike kike sana.
Siyo kweli. Mama ni mtu Smart sanaKuna kipindi mama nae alikua anavaa mabwanga
Wewe ni mjingaSasa mimi na wewe nani mjinga. Au ndiyo yale yale ya mjinga kujiona yuko sawa ila walio timamu anawaona ndiyo wajinga
Njoo nikulimishe shambani mpaka akili ikukae sawa. Au unafikiri mimi ni kama wewe mvivu mvivuAcha ujinga hudumia wananchi asee
Malighafi zimetoka wapi, umenikumbusha wimbo wa nitoke vipi wa Mr MisosiKwani hilo koti kashonewa na wakoloni?
Piga picha ukiwa shambani mwehu wewe, nasikia jana ulikamatwa na trafic hukuwa na helmet + leseni kwenye toyo yakoNjoo nikulimishe shambani mpaka akili ikukae sawa. Au unafikiri mimi ni kama wewe mvivu mvivu
Wivu tuNdugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.
Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa .huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi .
Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini . Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka .
Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto .umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.
Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana ,ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa .
Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.
Angalia hapa👎View attachment 3252722
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Moshi umekuharibu sana akili yakoHata sahivi wazazi wake wamemtoa kafara ndiyo maana hana akili timamu, kuna ndugu zake mimi nawasiliana sn waliniambia. Ukweli nilisikitika sn
Je unajua kama mtu akikuita mwerevu humu ndani itaonekana ni tusi kwako. Umeshajiuliza kwanini kila mtu anakuona mjinga mpaka machawa wenzako?Wewe ni mjinga
Yaan uchawa wa kiwango Cha SGR nadhani tunavyo lipopoaa hapa huwa akili Zina lirudi SEMA tu anajizima DATAHata sahivi wazazi wake wamemtoa kafara ndiyo maana hana akili timamu, kuna ndugu zake mimi nawasiliana sn waliniambia. Ukweli nilisikitika sn
Nenda kazini usimtegemee sn Mchengerwa shetani weweMoshi umekuharibu sana akili yako
Sijui ni sababu ya kutolewa kafara na wazazi wake, mimi nikiongea naye live huwa ni mtu mwema, sema kuna saa UWT wenzake wanamtuma.Yaan uchawa wa kiwango Cha SGR nadhani tunavyo lipooa hapa huwa akili Zina lirudi SEMA tu anajizima DATA