PICHA: Tundu Lissu anavaa kishamba sana utafikiri wanasiasa wa wakati wa ukoloni

Kwa hiyo unataka tuendelee kuvaa magome ya miti.
 
Kwhy mlikua mnataka asivae ndani bullet proof ila mumpige tena risasi nyie nyumbu wa kijani?!..usalama wake kwasasa ndo jambo la muhimu kuliko kupendeza...vyovyote atakavyovaa ujue usalama wake umezingatiwa
 
Hilo ni Coat of arms, yaani kaona hela ya ruzuku imetoka, ili tu aitumie vibaya, kamwambia fundi azidishe saizi ya nguo, hovyo kabisa, hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…