PICHA: Tundu Lissu anavaa kishamba sana utafikiri wanasiasa wa wakati wa ukoloni

Kwa hiyo unataka tuendelee kuvaa magome ya miti.
Mshamba ni yue ambaye anaunga mkono ukoloni mambo Leo, (Neocolonialism), kwakutumia bidhaa wanazozitengeneza watu wengine badala ya kutumia bidhaa tunazo zalisha wenyewe

Remember our economy will be affected by Neocolonialism if we do not create methods to overcome Neocolonialism
 
Jamaa mbona amependeza tu freshi Yan kias kwamba ndio mtu wake Wa mavaz ubunifu wake umeisha hapo! Kwakuwa huyo ni kiongoz ilikupasa povu jingi umpake mtu anayewajibika kumpangilia mavaz!
 
Wivu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…