PICHA: Tundu Lissu anavaa kishamba sana utafikiri wanasiasa wa wakati wa ukoloni

Ni kama wewe tu unavoandika ushamba humu
 
Kwanza hakuna mashindano ya mavazi sisi tunataka maendeleo
Maendeleo yanaanzia kichwani ya namna mtu unavyo fikiri na kuwaza. Sasa kama mtu anashindwa hata kuwaza namna ya uvaaji wake.ni vipi atakuwa na mawazo ya maendeleo? Ndio maana mnaona ameanza kuwachangisha pesa chamani
 
Iga kutafuta hela kama yeye na kuwa mtu wa muhimu kwenye taifa kama yeye sio kuwandika vitu visivyo vya msingi mtandaoni
Lissu anatafutia wapi pesa wakati unaona anaomba hadi hela ya kununua gari? Embu sema ni shughuli gani ya kumuingizia kipato cha kila siku anayoifanya Lissu kwa sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…