Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Kazi tu.
Well said mkuukukitokea vita ya wenyewe kwa wenyewe Tz. aliyesababisha ni ccm kupitia tume ya uchaguzi! yanayondelea au kufanywa na Tume kwa shinikizo la ccm ni aibu kwa tume na fedheha kwa taaluma zao.
Hapa Kazi tu.
... umelichapa za uso hilo TAGA! Asante sana.Hii ni K’Njaro sio mwanza.
... zitawekwa hapa akaunti za off-shore banks za bwana yule na genge lake hutaamini.Subirini wiki mbili za mwisho wa October, PANDORA BOX litafunguliwa lenye nyeti za mgombea wengi watu lazima wajue INTEGRITY ya boss wenu siyo kuongopea anataka kuwa rais wakati makando kando kibao. Hiyo inaitwa niguse NINUKE
Mkutano: Maelfu ya watu Wilayani Misungwi wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Tundu Lissu
Nitaweka link ili mumfuatilie live akiwa Misungwi muda huu.
Wakuu najaribu kuweka link inagoma ila mkutano upo live ndani ya Dar mpya online tv
Lissu anasema hivi
1. Wagombea wote wa Chadema ngazi ya udiwani na Ubunge Misungwi walienguliwa kihuni na tume baada ya jaribio la kuwateka kushindikana.
2. Tume wanatulazimisha tupigane na tutapigana kwa ajili ya haki, nasema tutapigana.
3. Najua kuwa tutashinda kwa kishindo uchaguzi huu, ole wao tume watuibie ushindi wetu nasema Ole wao!
4. Tundu Lissu: Tukiingia ikulu tutaweka katiba mpya ambayo pamoja na mambo mengine itafutilia mbali hii tume ya uchaguzi iliyopo.
5. Lissu: Nikiwa Rais viongozi wa serikali za mtaa na vijiji ambao hawakupatikana kihalali wataondolewa na uchaguzi kufanyika upya chini ya tume mpya ambayo ni huru.
Lissu anaonyesha kukerwa na wagombea kuenguliwa na anasema tume inawalazimisha wapigane na wapo tayari!
Bado anaendelea, fuatilia live ndani ya Dar mpya
View attachment 1580475
Tengua kusukumiziwa huko,hakuna Urais kingekewa.Tunataka viongozi wa kutuvusha katika kipindi cha mpito kuelekea Tanzania Mpya.Tunazo Raslimali zote tunazohitaji kuwa Taifa la Dunia ya Kwanza-Developed Country,we have everything we need to get there except for Rightful True Leardership and Proper Constitution to do so.Let's utilize fully the Only&The only oppurtunity we have=General Elections on 28th October 2020.Tengua uteuzi wa 2015....tafadhali sana twende sawa
Mlianza fujo mapema kwa kujua kuwa kwenye jukwaa HAMUMUWEZI.Hii ni K’Njaro sio mwanza.
Amesema hakuna kuibiwa kura uchaguzi huu, Wakijaribu tu the Hague inawahusu na wasisubutu maana nchi itavurugika.Hakuna lijitu jinga kama Lissu! atapigana hata kama hakuchaguliwa??