mwaka huu muyakenuwa hadi mujinyee ha ha kanda ya ziwa hawewezi kubeba mrundi kwa mara 2 anawaambia wanamsaliti lakini yeye kasahau aliwasaliti kwa kubeba mizoga kaa akina bashite gambo hapi mnyetiIv nyie kwenye Mahesabu yenu Maelfu ya watu wanaanzia ngap?
Mnasema Maelfu wakati uhalisia wa watu hata Elfu moja hawafiki, Iv mnamdanganya nani?
Au mnataka kusema mliibiwa kura?
Kwann mtumie Picha za Mwaka 2015 wakati wa Lowassa?
Naona kifo Chenu kimefika mshaanza kutapatapa.