Iv nyie kwenye Mahesabu yenu Maelfu ya watu wanaanzia ngap?
Mnasema Maelfu wakati uhalisia wa watu hata Elfu moja hawafiki, Iv mnamdanganya nani?
Au mnataka kusema mliibiwa kura?
Kwann mtumie Picha za Mwaka 2015 wakati wa Lowassa?
Naona kifo Chenu kimefika mshaanza kutapatapa.