Inabidi hii kampeni ikifika Kanda ya kati Lissu na timu nzima ya CHADEMA ifanye kampeni ya nguvu mpaka waelewe kuwa Wagogo wanaishi maisha dhiki kwasababu ya CCM.Wagogo labda safari hii watachangamka
Haikushinda Ila Figisu Tu Na Ujanja Ujanja MwingiKwani ccm ilishinda 2015?
Ngoja reform zifanyike mtakimbia uchi mchana kweupeYale yale ya 'nyomi' uchaguzi mkuu wa 2015 wakati wa RIP Lowassa akifanya kampeni.
Matokeo ya uchaguzi yakija mtu kapata kura chache anaishia kulalamika kaibiwa na CCM.
Kukushangilia haina maana wanakuunga mkono.
Hakuna anayekimbia usitake kuleta upotoshaji wa kijinga, tunataka uchaguzi wa haki, sio huo ambao mwenyekiti wa ccm anapanga nani atangazwe mshindi.Ila mkisikia uchaguzi, mnatafuta sababu za kukimbia.
ingekuwa hivyo basi ccm angekubali uchaguzi huru aone kama anatoboaYale yale ya 'nyomi' uchaguzi mkuu wa 2015 wakati wa RIP Lowassa akifanya kampeni.
Matokeo ya uchaguzi yakija mtu kapata kura chache anaishia kulalamika kaibiwa na CCM.
Kukushangilia haina maana wanakuunga mkono.
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa baada ya Mkutano wa Tunduma Jioni ya leo
View attachment 3285153View attachment 3285154View attachment 3285185
Mengine si lazima sisi kuongeza chumvi ni vema ukajionea mwenyewe.View attachment 3285156
Mfe mara mbili?Nitaficha wapi sura ya chama changu CCM twafwa
Waliambiwa watafanyiwa kilimo cha umwagiliaji kwenye ubuyuKila sehemu Tanzania CCM huwa inapata shida labda sema kwa Wagogo huko Dodoma sijuo walidanganywa nini.
Mnaishia kulialia tu. CCM inashinda chaguzi zote.Kwani ccm ilishinda 2015?
Uchaguzi unakua huru na wa haki, ukiwa mpinzani utatafuta sababu ya kuukosoa na inaeleweka.ingekuwa hivyo basi ccm angekubali uchaguzi huru aone kama anatoboa
Mwashambwa kaona!Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa baada ya Mkutano wa Tunduma Jioni ya leo
View attachment 3285153View attachment 3285154View attachment 3285185
Mengine si lazima sisi kuongeza chumvi ni vema ukajionea mwenyewe.View attachment 3285156
Sasa hiyo Mibuyu mpaka ikue si inachukua miaka hadi 80? 🤣🤣🤣🤣CCM muogopeni Mungu.Waliambiwa watafanyiwa kilimo cha umwagiliaji kwenye ubuyu
Hawa SI hawataki uchaguzi huru😂😂Uchaguzi ukiwa huruma na haki saa 2 asubuhi mtu anarejea kwao kizi.... Mmm..
😂😂😂
kweli mkuu, huu wa askari kutumika kuingiza kura feki ama kuna mwingineUchaguzi unakua huru na wa haki, ukiwa mpinzani utatafuta sababu ya kuukosoa na inaeleweka.
Noma snKanda ya ziwa tunasubiri Kwa hamu,Hali ikiwa hivi huyu mzanzibar lazima arudi kwao akalee wajukuu zake