PICHA: Ukweli wa asili ya Deo Ndejembi - Mama yake alikuwa na asili ya Kiarabu

Huu upumbavu kawalishe wasioifahamu familia ya marehemu Mzee Ndejembi, huyo Ndejembi wa Kipemba msitumie nguvu mpaka mkajiaibisha za kufuta Upemba wake. Walioishi naye UK wanamtambua kama Mpemba na waliokuwa wakiswali naye wanaweza kutapika wakisoma huo ujinga uliou-post.
 
Huu ujinga umepewa na mange

USSR
 
Naijua familia ya Ndehembi personally, mmoja wa watoto wa late Ndejembi was my close buddy back in the day probably ulikuwa bado haujazaliwa miaka hiyo. Huyo Mpemba wenu mtaaibika naye.
Kwangu Ndejembi ni mdogo wangu kiumri wewe utakuwa ulikuwa house garl huko pemba

USSR
 
Kwangu Ndejembi ni mdogo wangu kiumri wewe utakuwa ulikuwa house garl huko pemba

USSR
Let's say yeah nilikuwa house 'garl'(that's how you damn wrote it), vipi hilo linaondoaje Upemba wake huyo Ndejembi wa kuchovya.
NB: I bet GARL ni Kipemba.
 
 

Attachments

  • 1000059788.jpg
    17.9 KB · Views: 14
Huyu ni babu yake, baba wa baba yake... lkn hata kama angekuwa ndo baba yake vipi kama mama ni muiraq, mrangi ama half cast?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…