Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
kwa hiyo jamaa kumbe ni 3/4 black.. ubaguzi wa rangi haufai ,ilimradi ni raia wa tanzania.. sidhani kama ni dhambi kuwa VP ,tumpime katika utendaji wake wa kazi.
obama ni half black - half white na bado wamarekani walimkubali!a
Juzi nmesikia jamaa(Deo)kakimbilia migombani huko UCHAGANI akijitanabaisha @ kaenda KUJITAMBULISHA UJOMBANI! Tujiulize,kama mamake ni MWARABU huko Uchagani kuna Waarabu? Iko namna hapo......!!!!!Shabibi nae anasema mama yake ni wa Kilimanjaro
Acha uzuzu na uchawa ww! What matters ni KATIBA YETU. Je,huyu ni Mtanganyika au Mzanzibara? Km Rais ni Mzanzibara, Katiba inasema Makamu lazima awe Mtanganyika...Full stop.Hata angekuwa Mchina what matter ni ufanisi wake wa kazi tu
Huyu marehemu mzee Pancras Mtemi ni Babu au ni Baba wa huyu Bwana Deo John? Nauliza tu!Mods naomba uzi huu usiungwe kule
Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi.
Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada wakubwa wa CCM na kiongozi mkongwe wa CCM Mkoani Dodoma Alihudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa miaka 25 kuanzia mwaka 1982 hadi 2007.
Pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wote wa CCM wa Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani hadi alipong'atuka mwaka 2007.
Mzee Pancras Ndejembi ana asili ya kabila la Gogo (Wagogo), kutokea Mkoani Dodoma, chimbuko la asili yake ni kutokea katika Kijiji cha Mkonze, kilichopo Wilaya ya Dodoma mjini, na hapo ndipo Mzee Pancras Ndejembi alipozikwa baada ya kufariki dunia mwishoni mwa mwaka 2018.
Mama yake na Deogratias Jonh Ndejembi alikuwa ni muarabu mwenye asili ya Tanzania, yaani chotara wa kiarabu kutokea pale kongwa hivyo maujinga ya kumuita kuwa ni mzanzibar ni rohi mbaya,husda,uchimvi ,uchawi na ukigagula kwa taifa letu
Kupotosha ili ionekane ametokea Zanzibar ni mipango ya kuvuruga Muungano wetu ,mshikamano na amani ya taifa letu pedwq
Deo ni mgogo asili kabisa wa Tanzania ,tuwapuuze
USSR
View attachment 3658483
Marehemu Mzee Pancras Ndejembi ni Babu yake Deo Ndejembi.Ulivyoandika tu huyo mzee Pancras ni babake nimeacha kusoma maana yote ni uwongo na uzushi wako tu!
Una haraka ya nini si utafute taarifa sahihi?
Mbona ulitoa mada ya ki-chawa sana sheh?Mods naomba uzi huu usiungwe kule
Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi.
Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada wakubwa wa CCM na kiongozi mkongwe wa CCM Mkoani Dodoma Alihudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa miaka 25 kuanzia mwaka 1982 hadi 2007.
Pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wote wa CCM wa Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani hadi alipong'atuka mwaka 2007.
Mzee Pancras Ndejembi ana asili ya kabila la Gogo (Wagogo), kutokea Mkoani Dodoma, chimbuko la asili yake ni kutokea katika Kijiji cha Mkonze, kilichopo Wilaya ya Dodoma mjini, na hapo ndipo Mzee Pancras Ndejembi alipozikwa baada ya kufariki dunia mwishoni mwa mwaka 2018.
Mama yake na Deogratias Jonh Ndejembi alikuwa ni muarabu mwenye asili ya Tanzania, yaani chotara wa kiarabu kutokea pale kongwa hivyo maujinga ya kumuita kuwa ni mzanzibar ni rohi mbaya,husda,uchimvi ,uchawi na ukigagula kwa taifa letu
Kupotosha ili ionekane ametokea Zanzibar ni mipango ya kuvuruga Muungano wetu ,mshikamano na amani ya taifa letu pedwq
Deo ni mgogo asili kabisa wa Tanzania ,tuwapuuze
USSR
View attachment 3658483
Kwa maana hiyo, wote wametokea upande mmoja wa muungano?wewe ndio hamnazo tena hamnazo kweli kweli.
It is specifically Article 47(3) of the Constitution. It states that a person should be nominated for Vice-President on the basis that if the President comes from one part of the United Republic, the Vice-President should come from the other part of the Union.
Mzee Ndejembi si baba yake kwa taarifa zinazotolewa mwanzo, ni baba wa kufikia..Mods naomba uzi huu usiungwe kule
Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi.
Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada wakubwa wa CCM na kiongozi mkongwe wa CCM Mkoani Dodoma Alihudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa miaka 25 kuanzia mwaka 1982 hadi 2007.
Pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wote wa CCM wa Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani hadi alipong'atuka mwaka 2007.
Mzee Pancras Ndejembi ana asili ya kabila la Gogo (Wagogo), kutokea Mkoani Dodoma, chimbuko la asili yake ni kutokea katika Kijiji cha Mkonze, kilichopo Wilaya ya Dodoma mjini, na hapo ndipo Mzee Pancras Ndejembi alipozikwa baada ya kufariki dunia mwishoni mwa mwaka 2018.
Mama yake na Deogratias Jonh Ndejembi alikuwa ni muarabu mwenye asili ya Tanzania, yaani chotara wa kiarabu kutokea pale kongwa hivyo maujinga ya kumuita kuwa ni mzanzibar ni rohi mbaya,husda,uchimvi ,uchawi na ukigagula kwa taifa letu
Kupotosha ili ionekane ametokea Zanzibar ni mipango ya kuvuruga Muungano wetu ,mshikamano na amani ya taifa letu pedwq
Deo ni mgogo asili kabisa wa Tanzania ,tuwapuuze
USSR
View attachment 3658483
Alikuwa mtoto wa ngapi kwa huyo baba yake wa kufikia,Mods naomba uzi huu usiungwe kule

Kwenu mnachukua kabila la mama yenu?RAISI mzanzibar
Makamu mzanzibar
Pancras Ndejembi ni babu yake, Baba yake ni John Pancras Ndejembi.Mzee Ndejembi si baba yake kwa taarifa zinazotolewa mwanzo, ni baba wa kufikia..
Akazikwa Mangapwani alikoowa.Kuna yule jirani yangu wa Tandika toka utotoni kanitosa, amekuwa mzaliwa wa Unguja! Yote ni kheri japo walitukosesha kumzika baba yetu jirani yetu ili kulinda madaraka, yote ni kheri.
Unazikwa ukweni! Siyo utashi wake ni utashi wa waliotaka madaraka kwa uraghai.Akazikwa Mangapwani alikoowa.
Alikuwa mtoto wa ngapi?Pancras Ndejembi ni babu yake, Baba yake ni John Pancras Ndejembi.
Wachaga walioana na wazungu, Moshi hakuna mwarabu hata wa kuchovya.Juzi nmesikia jamaa(Deo)kakimbilia migombani huko UCHAGANI akijitanabaisha @ kaenda KUJITAMBULISHA UJOMBANI! Tujiulize,kama mamake ni MWARABU huko Uchagani kuna Waarabu? Iko namna hapo......!!!!!
kwa hiyo jamaa kumbe ni 3/4 black.. ubaguzi wa rangi haufai ,ilimradi ni raia wa tanzania.. sidhani kama ni dhambi kuwa VP ,tumpime katika utendaji wake wa kazi.
obama ni half black - half white na bado wamarekani walimkubali!
Swali safi kabisaUarabu waku una shida gani?