Picha:Umati wa watu ukigombania kupiga picha na RC Makonda

Ndege wafananao huruka pamoja, hao nao elimu yao haieleweki wanataka kuhalalisha upuuzi wa kufoji vyeti, kwa kuwa RC kafoji na yuko kazini waliofoji lazima wamsapoti ili mkuu anyamaze asiulize tena issue ya waliofoji vyeti, lazima wakutane wafarijiane.
 
Kweli huyu mkuu anapendwa sana, huku watu wa wakimdis RC makonda hiyo ni picha ya watu waliokua wanajiselfie na Rc huyo huku wakitamani awe RC wao,..

Si unajua watu wa DODOMA. DODOMA HIYO!!!
 
Hao vijana wanapiga picha na Bashite kama kituko na kumkejeli kwenye mitandao ya kijamii ushahidi huu hapa.
 
Kweli huyu mkuu anapendwa sana, huku watu wa wakimdis RC makonda hiyo ni picha ya watu waliokua wanajiselfie na Rc huyo huku wakitamani awe RC wao,..
Hahahaaa from hero to zero siku hizi hana tofauti na harmorapa.
 
Watu wa Dodoma vumbi imewajaa masikioni hawaambiwi kitu kuhusu ccm
 
Nani aliwahi kubadilisha picha za SINEMA ilokwisha chezwa?.... au sinema itapita hapo
 
Hao watu sio wajinga wanataka kuweka kumbukumbu kuwa CCM iliwahi kuwa Na MKUU wa mkoa darasa la 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…