Unajuaje kuwa wanampenda? Hivi ukamfumania jamaa na mkeo, ukaamua kumgeuza jamaa kwa kumkomoa na ukawaomba wapambe wakupige picha. Je kwakuwa umepiga picha naye unampenda?Kweli huyu mkuu anapendwa sana, huku watu wa wakimdis RC makonda hiyo ni picha ya watu waliokua wanajiselfie na Rc huyo huku wakitamani awe RC wao,..
Wa saba ni muanzisha mada, idadi imekamilika.Watu Wenyewe ni sita tu na bado wamelipwa pesa za kufoji picha.
duhwamelipwa hao niamini mimi
Sijauona umatiKweli huyu mkuu anapendwa sana, huku watu wa wakimdis RC makonda hiyo ni picha ya watu waliokua wanajiselfie na Rc huyo huku wakitamani awe RC wao,..
Watu kama hawa wangekuwa kwa Kim Jo un wangekuwa marehemHao wanamkebehi tu,wakitoka hapo wanaenda kupost kwenye page zao wanamwandikia maneno ya shombo namna hii[emoji116]
Na watatu kati ya hao ni walinzi wake binafsiYaani vibashite 1,2,3,4,5,6 unasema ni umati?
Hizo ni zero 6zenye vyeti feki kama wewe!
Kuna video yake inazunguka kwenye magroup ya wasap..Yaani vibashite 1,2,3,4,5,6 unasema ni umati?
Hizo ni zero 6zenye vyeti feki kama wewe!
mkuu kuwa serious kidogo .....mimi hapo naona simu 3 tu,,,huo umati unaouongelea wewe uko wp?
au ndio mahaba yenyewe