zai katoto
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 325
- 227
Tazama hapaAlikiba ni baba anayejivunia wa watoto watatu. Muimbaji huyo wa Mwana ameamua kuitambulisha familia yake hiyo kwa mashabiki wake katika kuukaribisha mwaka mpya 2015.
Nawapenda sana watoto wangu, ameandika Kiba kwenye picha aliyoweka kwenye Facebook.
Kingine ambacho kinabeba na kitaendelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana. Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote.
#BobMarley wa enzi zetu. Safi sana kijana angalau tofauti na celebrities wengine kama mwenzangu Kanumba hakuwa hata na wakusingiziwa
Paula kilaki data please and please naomba muwaombe radhi watanzania wenzetu..tusisahau licha ya tofauti zetu za kisanaa we're Tanzanians. data hata one day binadamu hawezi kuwa nguchiro,kwa hilo linatosha kabisa kuomba msamaha tena wa dhati.
Paula kilaki my sister ile comment yako ulivyoiweka mwanzo ndo imezua balaa lote.
Ulivyoelezea Mara ya Pili what you meant ikawa too late tayari kuna damages done.....hukutakiwa kuendelea shikiria msimamo wako ili ujijustify hukumaanisha ubaya,ila ulitakiwa tuu utumie uungwana na uombe radhi.....labda issue ni unajiuliza uombe radhi kwa lipi??? Omba radhi kwa kuleta controversy ktk mjadala na next time tuwe waangalifu ktk Yale tuandikayo(hiii ni kwa teams zote)
Are u serious..!! Duuudde..!!!??
Are u serious..!! Duuudde..!!!??
this is what went bad with u Avemaria, Matola??? ngoja niwape ufafanuzi i started hapa hutawaona wakileta pua wamefyata mkia, kucha kutwa huita diamond malaya (nikimaanisha team kiba) kumbe kuna malaya huku (KIBA) mwenye mpaka identity (WATOTO) wanaoonekana kwenye picha, si ndio identity ya umalaya wake tungejuaje kiba kumbe nae hubadili wanawake kama nguo kama sio hao watoto?? Nikamalizia haya wakuje wachonge midomo yao hapa nikimaanisha team kiba. sasa nionesheni nilipomgusa avemaria NENO MSAMAHA LIPATE UHALALI.
Hongera zake kama anawatunza vizuri hamna shida ingawaje si poa kwa yeye kama kioo cha jamii kuwa na watoto kutoka wamama 3 tofauti.
data,unaenjoy sana,wewe umetuita ilo neno kabisa,afu unapambiza tu,umeita tena neno lingine unapambiza tena!aisee kaka unayaweza!
Ooooh! daimond kazidi umalayaaa, anabadili wanawake kama nguo, tanesco inamtafuta imuunganishe kwenye grid ya taifa, sasa nifah Genevoros Matola, Avemaria, atoto abou (muite na wenzenu) mkuje huku mumchambe na huyu mwana wenu kama kweli nyie umayala mwaujua, mumueleze na garama za umeme, mumpeleke clinic akajifunze nyota ya kijani na uzazi wa mpango, mumuambie bila kificho kuloweka huloweka kuku na bata tuu, sisi tunaojielewa!!! mnaelewa??? SISI hutumia dume mpaka tutakapo kuwa tayari.
Sio sababu ya kutosha kutuita sisi malaya au manguchiro!!Kama huoni ulipotereza basi tena!Kuhusu izo methali,waasisi wa hilo fumbo la imani sio sisi team Kiba ni media ya Bongo so u can't undo that!Nawaacha na METHALI MBILI MTAFAKARI TEAM KIBA.
1. MSITUKANE MAMBA KABLA HAMJAVUKA MTO.
2. HAMJAFA , HAMJAUMBIKA.
.... .... Tafuteni MORAL LESSON wenyewe... ...
Kama mnataka fresh start wote tuombane msamaha.
Sio sababu ya kutosha kutuita sisi malaya au manguchiro!!Kama huoni ulipotereza basi tena!Kuhusu izo methali,waasisi wa hilo fumbo la imani sio sisi team Kiba ni media ya Bongo so u can't undo that!
data,unaenjoy sana,wewe umetuita ilo neno kabisa,afu unapambiza tu,umeita tena neno lingine unapambiza tena!aisee kaka unayaweza!
Paula kilaki data please and please naomba muwaombe radhi watanzania wenzetu..tusisahau licha ya tofauti zetu za kisanaa we're Tanzanians. data hata one day binadamu hawezi kuwa nguchiro,kwa hilo linatosha kabisa kuomba msamaha tena wa dhati.
Paula kilaki my sister ile comment yako ulivyoiweka mwanzo ndo imezua balaa lote.
Ulivyoelezea Mara ya Pili what you meant ikawa too late tayari kuna damages done.....hukutakiwa kuendelea shikiria msimamo wako ili ujijustify hukumaanisha ubaya,ila ulitakiwa tuu utumie uungwana na uombe radhi.....labda issue ni unajiuliza uombe radhi kwa lipi??? Omba radhi kwa kuleta controversy ktk mjadala na next time tuwe waangalifu ktk Yale tuandikayo(hiii ni kwa teams zote)
Sio sababu ya kutosha kutuita sisi malaya au manguchiro!!Kama huoni ulipotereza basi tena!Kuhusu izo methali,waasisi wa hilo fumbo la imani sio sisi team Kiba ni media ya Bongo so u can't undo that!
And she might be one among the mothers..!!
Sorry.!!