miss charming
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 910
- 905
- Thread starter
-
- #201
Mkuu mbona mapovuu jamanii, huyo diamond kuongelewa kawaida maana ni celebrity , na hili jukwaa ni la watu kama yeye ,Unahis ulivoish ww kila mtu anaish hvo
Rudia kusoma mkuu utaelewa namaanisha nnPost ina husu nini miss???
Waooo!! U look beautifulBabito kama nakuona vile kapigeView attachment 474925 mswaki basi
Umemuona mlimbwende mkuu uvumilivu umemshinda kaamua aonyeshe kile alopewa na munguKwahiyo leo umeamua ujionyeshe tukujur
Mkuu acha ushabiki maandazi, na usijifanye hiyo Picha huioniWale kina Ivan wanavyopenda sifa,wangemla huyu zari kipindi hiki yupo diamond hakuna sayar isingejua acha jua,dunia mzima ingejua kwa marefu na ushahidi wa picha kabisa,ktk kitu Ivan kina muuma ktk maisha yake ni haya mapenzi ya hawa watu..so diamond sio fala na hajawai kuwa fala ile ni damu yake
Maneno yanaumba hayo alijichulia mwenyeweNgololo, ngololo, ngololo
............... kuchapiwa ni siri ya ndani
Twende sasa!!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimechekaHee Mbona povu zito hivyo, hebu tia maji kidogo
Sana mkuuUstaa ni gunia la misumari...
Hahaaaa ila ww ni team gani mkuu kwenye mziki inaonyesha tuna match[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka
Mkuu umeongea inawezekana diamond akawa anajuaNarudia na nilishasema watoto wa simba wanafanana na Ivan. Wako wanaume wanajua hali kama hii na wanamezea ili kuepuka aibu na wapo hawajui wake zao wanahemea nje wanaleta ndani. Kwa huyu wa kwetu inawezekana anajua.
Atakuwa anajuaKama ni kweli, hii ni aibu. Jinsi Dangote anavyowafanyia promo hao watoto kumbe ni Waganda!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku hizi.mimba zinaingia kwa Bluetooth.
We unaonaje hiyo Picha mkuu au ndo mapenzi upofuKitanda hakizai haramu.. Mmesema kwa tifa wee alvyokuw mdgo sasa ni nillan mkitoka hilo mtaamia jingine pili mpate pa kumsemea , OK endeleen bna mpate kurdhisha nafsi zenu cjui mnataka huyo mtt amtupe au aache mke
Ndio ananiona na anazidi kunilinda kwani we Mungu hakuoni??MUNGU anakuona.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bongo raha mkuu sihami ng'oomkuu mtatuua huku vyeti ni feki hatujamaliza mnaleta MTT tena nae ni feki sio wa simba
Kwenye mziki mzuri mkuu na sauti za kumtoa nyoka pangoni[emoji4] [emoji4] [emoji4]Hahaaaa ila ww ni team gani mkuu kwenye mziki inaonyesha tuna match