Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Wale kina Ivan wanavyopenda sifa,wangemla huyu zari kipindi hiki yupo diamond hakuna sayar isingejua acha jua,dunia mzima ingejua kwa marefu na ushahidi wa picha kabisa,ktk kitu Ivan kina muuma ktk maisha yake ni haya mapenzi ya hawa watu..so diamond sio fala na hajawai kuwa fala ile ni damu yake
Mkuu acha ushabiki maandazi, na usijifanye hiyo Picha huioni
 
Narudia na nilishasema watoto wa simba wanafanana na Ivan. Wako wanaume wanajua hali kama hii na wanamezea ili kuepuka aibu na wapo hawajui wake zao wanahemea nje wanaleta ndani. Kwa huyu wa kwetu inawezekana anajua.
Mkuu umeongea inawezekana diamond akawa anajua
 
Kitanda hakizai haramu.. Mmesema kwa tifa wee alvyokuw mdgo sasa ni nillan mkitoka hilo mtaamia jingine pili mpate pa kumsemea , OK endeleen bna mpate kurdhisha nafsi zenu cjui mnataka huyo mtt amtupe au aache mke
We unaonaje hiyo Picha mkuu au ndo mapenzi upofu
 
demu yuko south,mume yuko south na watoto watatu.hapo dogo anapigwa sound tu ya fame,mkwanja ivan anao wa kutosha kiasi diamond kajiaminisha tajiri na visenti vyake kibongo,nyumba south kapigwa,watoto kapigwa,yaani full movie huyu mtoto wa madale ajifunze tu dansi linakuja mbele yake ,Zari sio future yake kwamba watazeeka wote hapo
 
Yaani hapo kinachowa-confuse ni kwamba mtoto kafanana na Diamond, ila Diamond ndo kafanana na Ivan.
 
Back
Top Bottom