Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Baadhi ya watu ni mabingwa kuvunja mahusiano ya watu. Kosa kukaribishwa kwenye arobaini ya mtoto mme toka na yenu. Zari na Mondi wanaona mbali fitna na kashfa zenu ni za bure. Tafuteni maendeleo yenu si kutafuta kutenganisha watu. Next time zari do not invite the same people you invited last time.
 
Namkubali sana Mondi ila hiz pics nimeziangalia zaid ya Mara moja,kama hamna editing bas zinanipa mashaka....Nitaamin mtoto wa Mond pale nitakapoona majibu ya DNA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…