PICHA/Video: Matukio yanayojili kati ya Russia na Ukraine

PICHA/Video: Matukio yanayojili kati ya Russia na Ukraine

Putini ana mambo ya kizaramo!
Unamsingizia,
Wazaramo Ni NATO na washirika wake.[emoji4]
JamiiForums-757781212.jpg
 
Acha uzushi,
Ayo maandamano yametokea Spain Jana mchana.
(Hizo picha umechukua france24)

Russia Ni nchi ya kikomunisti,
Hakuna mbuzi anaweza thubutu kuandamana kipind hiki ambacho president Yuko na jazba isiyomithilika.

Ni sawa na kusema wananchi wa North Korea wameandamana, UTakua unachekesha umma mkuu[emoji2]
Mkuu siangalii wala kufuatilia france 24, either nipe real photo kutoka france24 or maybe na wao wametoa nilipotoa mimi.

Vilevile hujui siasa kutoka nchi za kikomunisti, usifanye watu wakanuna.
Sorry.
 
Hahaaaa yaani uandamane North Korea [emoji23][emoji23][emoji23]
Utakuwa hujipendi ww
Acha uzushi,
Ayo maandamano yametokea Spain Jana mchana.
(Hizo picha umechukua france24)

Russia Ni nchi ya kikomunisti,
Hakuna mbuzi anaweza thubutu kuandamana kipind hiki ambacho president Yuko na jazba isiyomithilika.

Ni sawa na kusema wananchi wa North Korea wameandamana, UTakua unachekesha umma mkuu[emoji2]
 
CIA wapo kazini mwisho ni civil war
Haiwezi kuwa mkuu, CIA wamemaliza kazi tayaribtokqpale Biden alipotangaza kuwa Putin ataipiga Ukraine 🇺🇦 na Putin akapinga kuwa hatampiga, leo unaona kinachoendelea.
 
Mkuu siangalii wala kufuatilia france 24, either nipe real photo kutoka france24 or maybe na wao wametoa nilipotoa mimi.

Vilevile hujui siasa kutoka nchi za kikomunisti, usifanye watu wakanuna.
Sorry.
Kaa kimya unapotosha
 
Poleni mods

Unganisheni threads tu

Vita yenyewe haituhusu

Tungekua this interested na rights za waafrika, drc ingekua super power
 
Kaa kimya unapotosha
Pole sana mkuu, napata shida kuona watu kqma wewe bado mpo kwenye dunia yenye kila kitu kiganjani, huku unashindwa kuweka ukweli wa kile unachokifahamu.

Sadly
🤫.
 
Poleni mods
Unganisheni threads tu
Vita yenyewe haituhusu

Tungekua this interested na rights za waafrika, drc ingekua super power
20220226_174854.jpg

👆🏾 Familia hii ilikuwa mbali na nyumbani.
Pale ving'ora viliposikika, wao walikuwa kwenye ukumbi wa mazoezi ambao sasa umegeuzwa kuwa chumba cha kulala.
 
Wadau habari picha usadikisha kwa uhalisia wa tukio m, ruksa kutupia picha matukio ili tujifunze.

View attachment 2131266
[emoji1483] Mamia ya wananchi wa mji wa Kyiv wakiwa kituo cha gari moshi kusubiri usafiri kuwatoa jijini hapo.

View attachment 2131263
[emoji1483] Mizinga ya masafa mafupi iliyopigwa kuelekea mpaka wa Ukraine.

View attachment 2131267
[emoji1483] Wananchi wakipiga moja ya roketi iliyotunguliwa na majeshi ya Ukraine mapema jana.
View attachment 2131268
[emoji1483] Majeshi ya Urusi yakivuka mpaka upande wa Ukraine.

View attachment 2131274
[emoji1483] Sehemu ya wanajeshi wa Ukraine ambao walikuwa katikati ya mji mkuu wakijaribu kuweka usalama kwa raia waliokuwa kituo cha gari moshi jijini Kyiv.

View attachment 2131275
[emoji1483]Familia nyingi zimekuwa zikiondoka Ukraine na kuelekea nchi jirani ya Poland kuepa vita.

View attachment 2131272
[emoji1483] Wanawake na watoto wa wanaondoka Ukraine baada ya kuvuka mpaka wa Slovakia na Ukrain.

View attachment 2131270
Maskini kids [emoji24][emoji24][emoji24]

Kweli vita haina macho [emoji25][emoji29][emoji29][emoji29]
 
View attachment 2131298Ras putin akiangalia camera

UPDATE:
20220226_205621.jpg

👆🏾 Wananchi wa Bakhmach katika eneo la Chernigov wanajaribu kuzuia mizinga ya Urusi isifanye uharibifu kwenye mji wao.
SWALI LILIKIWA; Je! Waukraine wa kawaida wanaweza kuwa jasiri kiasi hiki kumzuia mbaya wako asikupige?.

20220226_210127.jpg

● URUSI IMEZUIA ANGA LAKE.
👉🏾 Picha za satellite zimeonyesha safari mbili za ndege za 🇳🇱 KLM kuelekea maeneo zinakokwenda ikiwepo 🇷🇺Urusi zimegeuka na zinaonekana kurejea nyumbani.
 
Maxence Melo

Unganisheni threads hizi
Acha roho ya uzandiki kumtaja MD kwenye vitu vidogo kama hivi.

Before you call his, hii thread ina tofauti na hizo unazotaka hii iunganishwe first, mada hii inatoa habari kwa mtindo wa picha tu that why unaona hata wachangiaji siyo wengi kama kule.

Nimeandika mapema kabla kuomba uzi huu usiunganishwe na zile nyingine na hata sasa uzi huu upo jukwaa tofauti na hayo mmengine although is full of correspondent story from front line photo journalist.

So kuwa mpole.
 
It’s just another similar thread

Nothing unique

Loads of crappy speculations tu

Grow up
 
Back
Top Bottom