PICHA/Video: Matukio yanayojili kati ya Russia na Ukraine

PICHA/Video: Matukio yanayojili kati ya Russia na Ukraine

It’s just another similar thread
Nothing unique
Loads of crappy speculations tu
Grow up
93f7b5d301c6d77c3b4435d176428f16.jpeg

UPDATE:
👉🏾 Kyiv imebadilishwa kuwa uwanja wa vita na muda huu majeshi ya urusi yapo mile 6 kutoka makao makuu ya Ukraine 🇺🇦.

Let us watch every happen through images.
 

This is the proper thread… updates minute per minute
Man I'm not selfish aah, and i saw that thread and was missed some serious information and so.

And hii siyo
LIVE mkuu that why you've read heading wrote PICHA: Matukio yanayojili... hata wewe unaweza kuweka picha and you can gaze why hii mada haipo kwenye Habari Mchanganyiko au International Forum etc.
 
Haya sasa wanawake na watoto wameruhusiwa kuondoka kukwepa vita, wanaume wameambiwa wabaki kwa ajili ya kusaidia mapambano, kazi kwa mashoga hawajui wafanye nini waondoke au wabaki
Mkuu dugu zetu 'waafrika' wana nyanyapaliwa sana huko, hawapewi nafasi kuvuka mpaka au kupanda train wanaambiwa wao watakuwa wa mwisho kuvuka au kuondoka, nini tunafanya hapa?.
 
UPDATE FOR MARCH:
Siku ya 6 ya uvamizi na mapigano nchini 🇬🇧 Ukraine


20220302_215603.jpg

👆🏾 Japo hawezi kuitwa shujaa kwa sasa ila, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky pichani, ambaye ni mcheshi na mwigizaji wa zamani, ambaye wengi wanamzodoa kwa kutokuwa na uzoefu kiuongozi/kisiasa anaendelea kuthibitisha wenye kutilia shaka uongozi wake kwa kujipatia heshima ulimwenguni kwa ujasiri wake katika kukabiliana na dhoruba.

20220302_215934.jpg

👆🏾 Mwanamgambo wa mji wa Valery anavuka daraja lililoaribiwa kwa mabomu huku amembeba mtoto aliyekuwa na familia yake kwenye viungani vya mji wa Kyiv walipokuwa wakitoroka mapigano.

20220302_221020.jpg

👆🏾#1Wananchi wakimuokoa mtoto na kupita kwa tahadhali kwenye daraja.

20220302_221027.jpg

👆🏾#2 Bado baadhi ya wananchi wana imani na jeshi lao hata wakitoka kununua mahitaji muhimu, pamoja na kuwepo vitisho vya milipuko.

20220302_221023.jpg

👆🏾 #3 Askali, Wanamgambo raia wakiwa mstari wa mbele kuilimda aridhi yao dhidi ya uvamivi wa warusi.

20220302_221014.jpg

👆🏾Askari waliokufa baada ya mapigano huko Ukraine,
 
Back
Top Bottom