PICHA/Video: Matukio yanayojili kati ya Russia na Ukraine

Mkuu siangalii wala kufuatilia france 24, either nipe real photo kutoka france24 or maybe na wao wametoa nilipotoa mimi.

Vilevile hujui siasa kutoka nchi za kikomunisti, usifanye watu wakanuna.
Sorry.
 
Hahaaaa yaani uandamane North Korea [emoji23][emoji23][emoji23]
Utakuwa hujipendi ww
 
CIA wapo kazini mwisho ni civil war
Haiwezi kuwa mkuu, CIA wamemaliza kazi tayaribtokqpale Biden alipotangaza kuwa Putin ataipiga Ukraine ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ na Putin akapinga kuwa hatampiga, leo unaona kinachoendelea.
 
Mkuu siangalii wala kufuatilia france 24, either nipe real photo kutoka france24 or maybe na wao wametoa nilipotoa mimi.

Vilevile hujui siasa kutoka nchi za kikomunisti, usifanye watu wakanuna.
Sorry.
Kaa kimya unapotosha
 
Poleni mods

Unganisheni threads tu

Vita yenyewe haituhusu

Tungekua this interested na rights za waafrika, drc ingekua super power
 
Kaa kimya unapotosha
Pole sana mkuu, napata shida kuona watu kqma wewe bado mpo kwenye dunia yenye kila kitu kiganjani, huku unashindwa kuweka ukweli wa kile unachokifahamu.

Sadly
๐Ÿคซ.
 
Poleni mods
Unganisheni threads tu
Vita yenyewe haituhusu

Tungekua this interested na rights za waafrika, drc ingekua super power

๐Ÿ‘†๐Ÿพ Familia hii ilikuwa mbali na nyumbani.
Pale ving'ora viliposikika, wao walikuwa kwenye ukumbi wa mazoezi ambao sasa umegeuzwa kuwa chumba cha kulala.
 
Maskini kids [emoji24][emoji24][emoji24]

Kweli vita haina macho [emoji25][emoji29][emoji29][emoji29]
 
View attachment 2131298Ras putin akiangalia camera

UPDATE:

๐Ÿ‘†๐Ÿพ Wananchi wa Bakhmach katika eneo la Chernigov wanajaribu kuzuia mizinga ya Urusi isifanye uharibifu kwenye mji wao.
SWALI LILIKIWA; Je! Waukraine wa kawaida wanaweza kuwa jasiri kiasi hiki kumzuia mbaya wako asikupige?.


โ— URUSI IMEZUIA ANGA LAKE.
๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Picha za satellite zimeonyesha safari mbili za ndege za ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ KLM kuelekea maeneo zinakokwenda ikiwepo ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บUrusi zimegeuka na zinaonekana kurejea nyumbani.
 
Maxence Melo

Unganisheni threads hizi
Acha roho ya uzandiki kumtaja MD kwenye vitu vidogo kama hivi.

Before you call his, hii thread ina tofauti na hizo unazotaka hii iunganishwe first, mada hii inatoa habari kwa mtindo wa picha tu that why unaona hata wachangiaji siyo wengi kama kule.

Nimeandika mapema kabla kuomba uzi huu usiunganishwe na zile nyingine na hata sasa uzi huu upo jukwaa tofauti na hayo mmengine although is full of correspondent story from front line photo journalist.

So kuwa mpole.
 
Itโ€™s just another similar thread

Nothing unique

Loads of crappy speculations tu

Grow up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ