Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
NDo maana anajinenepea, mambo ya kukaa na vitu rohoni hanaga kabisaa
Sasa Iyo Caption Ya Kwenye Iyo Picha Si Dongo Kwa "Zari"
hahaaaaa Zma ndio maana hanenepi.... we patia picha hadi Dina Marios
alikorofishana nae.. ana roho ya kwanini.........
akiwa kwenye interview full kuwachimba watu maswali ye akiulizwa
we anakuwaje mkali kama pilipili kichaa.........., hasa umuulize swala la baba
hivi mzee machache atahitaji hata michango kweli? au itakuwa mwendo wa kadi za mialiko tu
huko ni mambo ya ARE U INVITED?????
hahaaaaa Zma ndio maana hanenepi.... we patia picha hadi Dina Marios
alikorofishana nae.. ana roho ya kwanini.........
akiwa kwenye interview full kuwachimba watu maswali ye akiulizwa
we anakuwaje mkali kama pilipili kichaa.........., hasa umuulize swala la baba
anapokaa panaeleweka tu madam b............ nyumba ya ukweeee
Hee aligombana na dina lini hyo??
Binamu.. Machache anamuoa nalia kwa furaha.......
harusi ya uwanja wa taifa inakuja maana ya Wema na Dai iliyeyuka lool..........................
Mrembo by Nature unapitwaa
hivi mzee machache atahitaji hata michango kweli? au itakuwa mwendo wa kadi za mialiko tu
Mmh ila ruge pale kwa zama hapana kwa kweli