Picha: Vita ya Ray C na Zamaradi yapamba moto

NDo maana anajinenepea, mambo ya kukaa na vitu rohoni hanaga kabisaa

hahaaaaa Zma ndio maana hanenepi.... we patia picha hadi Dina Marios
alikorofishana nae.. ana roho ya kwanini.........

akiwa kwenye interview full kuwachimba watu maswali ye akiulizwa
we anakuwaje mkali kama pilipili kichaa.........., hasa umuulize swala la baba
 
Ha ha ha nasikia ana kibaby gal....halafu kwa mzee machache vikao vimeanza leo. warumi hiyo habari kuna ukweli?
hivi mzee machache atahitaji hata michango kweli? au itakuwa mwendo wa kadi za mialiko tu
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaa Zma ndio maana hanenepi.... we patia picha hadi Dina Marios
alikorofishana nae.. ana roho ya kwanini.........

akiwa kwenye interview full kuwachimba watu maswali ye akiulizwa
we anakuwaje mkali kama pilipili kichaa.........., hasa umuulize swala la baba

heeeh ujue kugombana na mtu kama dina lazima uwe na kipaji. waligombania nini?
 
hahaaaaa Zma ndio maana hanenepi.... we patia picha hadi Dina Marios
alikorofishana nae.. ana roho ya kwanini.........

akiwa kwenye interview full kuwachimba watu maswali ye akiulizwa
we anakuwaje mkali kama pilipili kichaa.........., hasa umuulize swala la baba

Hee aligombana na dina lini hyo??
 
Binamu.. Machache anamuoa nalia kwa furaha.......

harusi ya uwanja wa taifa inakuja maana ya Wema na Dai iliyeyuka lool..........................

Mmh pale mwenzangu wambea sie tumewashindwa, maana mambo yao mazito sana, wacha tu waoane binamu..... mmh apo kwenye ndoa ya chibu tutasubir sana
 
hivi mzee machache atahitaji hata michango kweli? au itakuwa mwendo wa kadi za mialiko tu

Wa nini?itakuwa mwendo wa kadi tu shopping Paris.....hapana chezea watu na nyota zao.Wamebanaaaaa wakaachia.

Bongo ukijifanya una haraka mbona utajuta!!!watu wamenyata nyata mpaka samaki kanasa mwenyewe.
 
Back
Top Bottom