Hyo inaitwa saa100 food rally 😄Imagine unasoma mada kuna mama huko hawezi wapa watoto wake mlo.
Halafu huku matajiri (kupitia kodi) za maskini na watu wanao wawakilisha, wanajirekodi kabisa wanavyochezea chakula.
Hawako sensitive kabisa na shida za wananchi wao.
Ni watu wa hovyo hawa majamaa.
Yamenenepeana kama Viboko kwa kula kodi za wananchi bila kufanya kazi ya maana.Wabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025.View attachment 3220984View attachment 3220985
Katika bonanza hili pia imechezwa mechi ya Wabunge ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga ambapo mechi imemalizika kwa Yanga kupoteza kwa bao 4-0
View attachment 3220986
Ni chawa pia ni snitch anatumika tu wakubwa wale ubwabwa!Huyo hana cheo chochote mkuu.
SIKU NYINGINE INABIDI WAWE na shindano LA KUTOA HOJA BungeniWabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025.View attachment 3220984View attachment 3220985
Pia, Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika bonanza hili pia imechezwa mechi ya Wabunge ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga ambapo mechi imemalizika kwa Yanga kupoteza kwa bao 4-0
View attachment 3220986
Kwani wewe huwa huzisikii hoja nzito nzito Bungeni. Halafu Maisha siyo vita. Kuna muda wa kutuliza ubongo. Ndio maana usipofanya baadhi ya mambo katika hatua fulani ya makuzi yako utakuja jikuta unafanya katika utu uzima wako. Isipo ila mwili na akili yako muda wa kufurahi utajikuta unakufa kwa msongo wa mawazo au kupata magonjwa ya ajabu ajabu tu.Lucas Mwashambwa hawa watu jaribuni kuwa na vikao elekizi nao ili walau wawe na mashindano hata ya kutoa hoja nzito nzito zenye kubadili mwelekeo wa Taifa kimaendeleao.
Kuna watu wanashida ya kusaka tonge kila Leo wao wanashindana kula dah🤔
Hicho ndo wanachoweza..Wabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025.View attachment 3220984View attachment 3220985
Pia, Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika bonanza hili pia imechezwa mechi ya Wabunge ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga ambapo mechi imemalizika kwa Yanga kupoteza kwa bao 4-0
View attachment 3220986
Hizi ndo mambo wanazo wezaWabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025.View attachment 3220984View attachment 3220985
Pia, Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika bonanza hili pia imechezwa mechi ya Wabunge ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga ambapo mechi imemalizika kwa Yanga kupoteza kwa bao 4-0
View attachment 3220986
Yanawaza kula na kuiba pekeeSijui kwann hawakukabwa na hayo matonge wa rip!.
Hawa ndiyo wanaweza kutunga sheria kweli?Wabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025.View attachment 3220984View attachment 3220985