Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Upumbavu mtupuWabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025.View attachment 3220984View attachment 3220985
Pia, Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika bonanza hili pia imechezwa mechi ya Wabunge ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga ambapo mechi imemalizika kwa Yanga kupoteza kwa bao 4-0
View attachment 3220986
Afya kushindana kula??michezo ni afya sioni shida yoyote
Kama au ni mata..ra!!Kama mataila tu ..hayasaidii wananchi kbs.
Halafu taahira mwingine naye anaandika kabisa kuwa eti michezo ni afya!!Haya mambo kweli bado yanafanyika karne hii?!
Kuna michezo mingine inarefrect uwezo wa kiwango chako cha kufikiri.Wabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025.View attachment 3220984View attachment 3220985
Pia, Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika bonanza hili pia imechezwa mechi ya Wabunge ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga ambapo mechi imemalizika kwa Yanga kupoteza kwa bao 4-0
View attachment 3220986
Acha wivu dogo. Ni mbaya kwa afya yako ya akili!Kama mataila tu ..hayasaidii wananchi kbs.
Inachekesha;Wabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025.View attachment 3220984View attachment 3220985
Pia, Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika bonanza hili pia imechezwa mechi ya Wabunge ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga ambapo mechi imemalizika kwa Yanga kupoteza kwa bao 4-0
View attachment 3220986
Mkuu mbona unatuita majina mabaya?Useless people in a useless country.
Ooohh! Wabunge hawa walipaswa kusaidia watu wasio na chakula na sio kufanya ulafi wao mbele ya watu wenye njaa! Wote walioshiriki shindano hili la kishenzi wapigwe chini October.Wabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025.View attachment 3220984View attachment 3220985
Pia, Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika bonanza hili pia imechezwa mechi ya Wabunge ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga ambapo mechi imemalizika kwa Yanga kupoteza kwa bao 4-0
View attachment 3220986
Mkuu rudisha avatar picha ya yule jitu lina pembe moja. Inaendana sana na jina la ID yako.
My country is not useless and I am not a citizen of useless country!Useless people in a useless country.
Nitalifanyia kazi mkuu, kuna changamoto ya kiufundi!!! 😆Mkuu rudisha avatar picha ya yule jitu lina pembe moja. Inaendana sana na jina la ID yako.
Ujinga tu ndio mana atuendelei.Wabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025.View attachment 3220984View attachment 3220985