Umeshindwa kuvumilia....πππHiko Chakula ningekiweka Nyongo ya Mamba.
Hatuwezi kuongozwa na masenge ya level hii never.
πππKama mataila tu ..hayasaidii wananchi kbs.
ππππππ€mabombonya
Na ndiyo wamejazwaaa huko na wanataka kumuongeza manara huko bunge lizidi kuwa la lopolopoooNchi hiii!!!!!!!!!
Bungenu kuna kundi la wapumbavu wanaoitwa wawakilishi wa wananchi.
Sasa hayo mambo kweli relevance yake ni nini?
Huwez kuta ushenzi kama huo kwenye Congress au Dumas
Mambo mengine ya aibu Sana.Umeshindwa kuvumilia....πππ
Eeeh, hii ni AIBU ya dunia aiseeh , wabunge wa kujadili taabu za wapiga kura !Imagine unasoma mada kuna mama huko hawezi wapa watoto wake mlo.
Halafu huku matajiri (kupitia kodi) za maskini na watu wanao wawakilisha, wanajirekodi kabisa wanavyochezea chakula.
Hawako sensitive kabisa na shida za wananchi wao.
Ni watu wa hovyo hawa majamaa.