Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kumbuka kwamba hawa ndio wabunge waliobambikiwa kila aina ya kesi za kutunga, wametukanwa matusi ya kila aina na wamedhalilishwa ndani ya bunge huku Spika akichekelea lakini wamesimamia kile kilichowapeleka hadi mwisho wa safari , heshima waliyojijengea itaendelea kudumu milele.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda Waheshimiwa hawa dhidi ya Majaribu ya Shetani.