omtiti
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 1,021
- 1,591
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndiyoo!Hawa ndio walioridhika kukatwa Mishahara na kudhalilishwa kingono
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndiyoo!Hawa ndio walioridhika kukatwa Mishahara na kudhalilishwa kingono
Mungu awabariki,
Kumbuka kwamba hawa ndio wabunge waliobambikiwa kila aina ya kesi za kutunga, wametukanwa matusi ya kila aina na wamedhalilishwa ndani ya bunge huku Spika akichekelea lakini wamesimamia kile kilichowapeleka hadi mwisho wa safari , heshima waliyojijengea itaendelea kudumu milele.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda Waheshimiwa hawa dhidi ya Majaribu ya Shetani.
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. Mami imekufa . Umeiua ?!Huu ni uthibitisho umeanza kuchanganyikiwa,kama ubunge wenyewe waliupata kwa kunyanyasika kingono ndio waje wakatae bil 1? Ndio maana Chadema imekufa sababu ya kukosa watu wenye busara.
Jaduong kwani huna taarifa?Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. Mami imekufa . Umeiua ?!
Mlevi wa taifa kawanogesha kiasi hawaoni mwingine
Kumbuka kwamba hawa ndio wabunge waliobambikiwa kila aina ya kesi za kutunga, wametukanwa matusi ya kila aina na wamedhalilishwa ndani ya bunge huku Spika akichekelea lakini wamesimamia kile kilichowapeleka hadi mwisho wa safari , heshima waliyojijengea itaendelea kudumu milele.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda Waheshimiwa hawa dhidi ya Majaribu ya Shetani.
Chakula cha mlevi wa taifaHistoria itawakumbuka daima.. Mwendo wameupiga.. Vita wameimaliza... Ilani wameilinda... Wabarikiwe...
Nani kaiua na kwa faida gani ?!. Ukibaki bila upinzani ni pigo kwa taifaJaduong kwani huna taarifa?
Matusi na uchawi ndio njia pekee ya masikini kujiliwazaMlevi wa taifa kawanogesha kiasi hawaoni mwingine
Kwani upinzani ni Chadema tu? Imekufa sababu ya ubinafsi wa viongozi Chadema. Wananchi wameichoka,wamegundua ni matapeli wa kisiasa.Nani kaiua na kwa faida gani ?!. Ukibaki bila upinzani ni pigo kwa taifa
Kudhalilishwa kingono kwani wao ni DC Kisa+lawe? Au wake wa mabalozi wanao tandikwa hadi mimba na kuwasahau wenza walio nje?Hawa ndio walioridhika kukatwa Mishahara na kudhalilishwa kingono
Aiseeeee !!!!Kudhalilishwa kingono kwani wao ni DC Kisa+lawe? Au wake wa mabalozi wanao tandikwa hadi mimba na kuwasahau wenza walio nje?
Ndio hivyo wameamuwa kuwa sexy machines za cdmKudhalilishwa kingono kwani wao ni DC Kisa+lawe? Au wake wa mabalozi wanao tandikwa hadi mimba na kuwasahau wenza walio nje?
Naona unajifariji kwa hao waliofika bei.Kwani upinzani ni Chadema tu? Imekufa sababu ya ubinafsi wa viongozi Chadema. Wananchi wameichoka,wamegundua ni matapeli wa kisiasa.
Mambo yapi ya Cdm? Ya kulipana madeni hewa bil 8+?Naona unajifariji kwa hao waliofika bei.
Sijawahi kumuona mwachama wa democrat akiwausia republicans nini cha kufanya . Komaeni na Ccm, mambo ya Cdm waachiwe wenyewe.
Kwa kumuweka mikononi mbowe kiasi cha kumsahau mwanae alielala ndani akakukumbuka wewe uliekuwa umbali mrefu,ndio umepelekea ujione tajiri,mrithi pekee wa mali za Mbowe. Na kuwaona wengine wote ni masikini!?Matusi na uchawi ndio njia pekee ya masikini kujiliwaza
[emoji23][emoji1787][emoji2960]Kwa kumuweka mikononi mbowe kiasi cha kumsahau mwanae alielala ndani akakukumbuka wewe uliekuwa umbali mrefu,ndio umepelekea ujione tajiri,mrithi pekee wa mali za Mbowe. Na kuwaona wengine wote ni masikini!?
Ile ishu ya wale madiwani na ushahidi ukapelekwa takukuru unaikumbuka? Au hukuwa nchini mkuu?Hiyo 1bil awape nan? Selikali ya jpm ni moto haiwez kuomba sub kwa walio shindwa
Ujui kitu