NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 10,004
- 21,312
Wameruka kiunzi!!hongera sana!!!
Nenda na wewe ukafanyweHalafu wakafanywa mboga na m,kiti wao
Mungu atawalipa changamoto zote mlizopitia lakini kugeuzwa bidhaa na kununuliwa kama wenzenu walivyofika dauView attachment 1480887
Kumbuka kwamba hawa ndio wabunge waliobambikiwa kila aina ya kesi za kutunga , wametukanwa matusi ya kila aina na wamedhalilishwa ndani ya bunge huku Spika akichekelea lakini wamesimamia kile kilichowapeleka hadi mwisho wa safari , heshima waliyojijengea itaendelea kudumu milele .
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda Waheshimiwa hawa dhidi ya Majaribu ya Shetani
Huyo si mpinzani.Mbunge wa upinzani atakayekumbukwa kwa michango yake yenye tija kwa taifa ni mh.James Mbatia tu,wengine ni ovyo tu,matusi,kejeli ,fujo na ujinga ujinga mwingine
Mkuu tutajie majina ya hawa mashujaa wetuView attachment 1480887
Kumbuka kwamba hawa ndio wabunge waliobambikiwa kila aina ya kesi za kutunga , wametukanwa matusi ya kila aina na wamedhalilishwa ndani ya bunge huku Spika akichekelea lakini wamesimamia kile kilichowapeleka hadi mwisho wa safari , heshima waliyojijengea itaendelea kudumu milele .
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda Waheshimiwa hawa dhidi ya Majaribu ya Shetani
Hayo maneno ni mazito sana kwa binadamu ambaye yupo safarini. Subirini hao hao mtaona kitachokuja! Wataendelea kuunga mkono juhudi msiwapambe kwa maneno mazito kiasi hiki.Historia itawakumbuka daima.. Mwendo wameupiga.. Vita wameimaliza... Ilani wameilinda... Wabarikiwe....
Mbunge wa upinzani atakayekumbukwa kwa michango yake yenye tija kwa taifa ni mh.James Mbatia tu,wengine ni ovyo tu,matusi,kejeli ,fujo na ujinga ujinga mwingine
We ushafanywa tayari bwege wwNenda na wewe ukafanywe
Shukrani sana! Asante sana, tutakutana tu! NitakufWe ushafanywa tayari bwege ww
Ukutane na nani we falaShukrani sana! Asante sana, tutakutana tu! Nitakuf
Yani hata nafsi yako inajua unadanganyaMbunge wa upinzani atakayekumbukwa kwa michango yake yenye tija kwa taifa ni mh.James Mbatia tu,wengine ni ovyo tu,matusi,kejeli ,fujo na ujinga ujinga mwingine
Chanda chema huvikwa pete.View attachment 1480887
Kumbuka kwamba hawa ndio wabunge waliobambikiwa kila aina ya kesi za kutunga , wametukanwa matusi ya kila aina na wamedhalilishwa ndani ya bunge huku Spika akichekelea lakini wamesimamia kile kilichowapeleka hadi mwisho wa safari , heshima waliyojijengea itaendelea kudumu milele .
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda Waheshimiwa hawa dhidi ya Majaribu ya Shetani
Heshima Sana kwao!! Yaani kina Silinde , Lwax ,30 , Lijualibutu etc ni TAKATAKA kwa Sasa!!! Washatumika kama NDOCOM sasa wapo kwenye DUSTBIN!!!! Chadema kwasasa wafanye vetting ya kutosha kupitisha wagombea wao wa ubunge na viti maalum,wafia chama kama kina Hilda Newton hauwezi kuja kusikia wamesaliti au kuunga mkono Juhudi,mtu kama Heche,Sugu au Lema wataanzaje kuunga mkono JUHUDI?View attachment 1480887
Kumbuka kwamba hawa ndio wabunge waliobambikiwa kila aina ya kesi za kutunga , wametukanwa matusi ya kila aina na wamedhalilishwa ndani ya bunge huku Spika akichekelea lakini wamesimamia kile kilichowapeleka hadi mwisho wa safari , heshima waliyojijengea itaendelea kudumu milele .
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda Waheshimiwa hawa dhidi ya Majaribu ya Shetani
Kuna ulazima wa kutopokea tena hawa UVCCM waliokosa nafasi za kugombea kwao, japo siasa za uchaguzi ni namba, ni bora tuwe 10 pure, kuliko 1000 makapiHeshima Sana kwao!! Yaani kina Silinde , Lwax ,30 , Lijualibutu etc ni TAKATAKA kwa Sasa!!! Washatumika kama NDOCOM sasa wapo kwenye DUSTBIN!!!! Chadema kwasasa wafanye vetting ya kutosha kupitisha wagombea wao wa ubunge na viti maalum,wafia chama kama kina Hilda Newton hauwezi kuja kusikia wamesaliti au kuunga mkono Juhudi,mtu kama Heche,Sugu au Lema wataanzaje kuunga mkono JUHUDI?
Jana tu Mwenyekiti wenu alikataza matusi,unampinga?Halafu wakafanywa mboga na m,kiti wao
Wanafanya mkuu, ulitaka kusemaje?SWALI:
Wasiokuwaa Wanasiasa hawafanyi NGONO?