Kwa kuwakataa waharibifu tutapata Neema.Miaka 5 ya UHARIBIFU imemalizika, sasa tusubiri kushuhudia miaka 5 ya NEEMA.
Kwa kuwakataa waharibifu tutapata Neema.Miaka 5 ya UHARIBIFU imemalizika, sasa tusubiri kushuhudia miaka 5 ya NEEMA.
hahahaaaaMkuu Erythrocyte naomba unifikishie salamu zangu kwa huyo mrefu kuliko wote!
Zimewatesa wewe na nani vuvuzela wa Lumumba??Hizi blah blah za CHADEMA zimetutesa. Imefika mwisho uchaguzi ujao hatufanyi makosa
Maana kaandika kea wivu sana. Naona anataka agegedwe na vigogo wa CDMKwa hii kauli wewe ndio unaonekana mboga!
Heshimu wanawake wewe zwazwaHalafu wakafanywa mboga na m,kiti wao
Hivi ulisharudi toka Mombassa? au bado unaburudishaHalafu wakafanywa mboga na m,kiti wao
Kama mkiweza pambana na shida za watz upinzani utajifia wenyewe,lkn Kama mtawekeza kupambana na upinzani kuliko shida zetu kwa kutumia Kodi zetu mtakuwa mnaukimbiza upepoHizi blah blah za CHADEMA zimetutesa. Imefika mwisho uchaguzi ujao hatufanyi makosa.
Shetani hajawahi mshinda MunguHizi blah blah za CHADEMA zimetutesa. Imefika mwisho uchaguzi ujao hatufanyi makosa.
Ujui kituHiyo 1bil awape nan? Selikali ya jpm ni moto haiwez kuomba sub kwa walio shindwa
Huyo ni ccm,mkishindwa kuzijibu hoja mnaziita matusi.Uliona juzi Mdee kawaburuza wabunge wote wa ccm wameshindwa jibu hoja wamebakia taarifa, taarifa.Mbunge wa upinzani atakayekumbukwa kwa michango yake yenye tija kwa taifa ni mh.James Mbatia tu,wengine ni ovyo tu,matusi,kejeli ,fujo na ujinga ujinga mwingine
HESHIMA KUBWA SANA KWA MAMA RUTH MOLLEL ...PAMOJA NA KUWA RAFIKI WA KARIBU TOKA ZAMANI WA LOWASSA ....PIA AMEKUWA KWENYE SYSTEM KWA MUDA MREFU AMEFANYA KAZI IKULU TOKA ENZI YA MWINYI ....LAKINI HAYO YOTE HAYAKUMFANYA AKUBALI KUHARIBU HISTORIA YA MAISHA YAKE KUWA MTU ALIYEWAHI KUNUNULIWA KAMA BIDHAA SOKONI ........
Kumbuka kwamba hawa ndio wabunge waliobambikiwa kila aina ya kesi za kutunga, wametukanwa matusi ya kila aina na wamedhalilishwa ndani ya bunge huku Spika akichekelea lakini wamesimamia kile kilichowapeleka hadi mwisho wa safari , heshima waliyojijengea itaendelea kudumu milele.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda Waheshimiwa hawa dhidi ya Majaribu ya Shetani.
Kabisa waangalie vyema yaani wachukue watu ambao hata wakiwa CCM walikuwa wanaikosoa!!!Kuna ulazima wa kutopokea tena hawa UVCCM waliokosa nafasi za kugombea kwao, japo siasa za uchaguzi ni namba, ni bora tuwe 10 pure, kuliko 1000 makapi
kama alivyodhalilishwa JokateHawa ndio walioridhika kukatwa Mishahara na kudhalilishwa kingono
Ushahidi wa wabunge wa chadema upo wamekiri kwa vinywa vyao, hebu weka huo ushahidi Wakokam
kama alivyodhalilishwa Jokate
Tukiweka video utakuwa tayari kututetea hapa jf ili tusilambwe BAN ?Ushahidi wa wabunge wa chadema upo wamekiri kwa vinywa vyao, hebu weka huo ushahidi Wako
Weka usiogope nitakuteteaTukiweka video utakuwa tayari kututetea hapa jf ili tusilambwe BAN ?