Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Mkuu Erythrocyte naomba unifikishie salamu zangu kwa huyo mrefu kuliko wote!View attachment 1480887
Kumbuka kwamba hawa ndio wabunge waliobambikiwa kila aina ya kesi za kutunga , wametukanwa matusi ya kila aina na wamedhalilishwa ndani ya bunge huku Spika akichekelea lakini wamesimamia kile kilichowapeleka hadi mwisho wa safari , heshima waliyojijengea itaendelea kudumu milele .
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda Waheshimiwa hawa dhidi ya Majaribu ya Shetani
Hawa ndio walioridhika kukatwa Mishahara na kudhalilishwa kingono
AMENView attachment 1480887
Kumbuka kwamba hawa ndio wabunge waliobambikiwa kila aina ya kesi za kutunga , wametukanwa matusi ya kila aina na wamedhalilishwa ndani ya bunge huku Spika akichekelea lakini wamesimamia kile kilichowapeleka hadi mwisho wa safari , heshima waliyojijengea itaendelea kudumu milele .
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda Waheshimiwa hawa dhidi ya Majaribu ya Shetani
Maoni yako ungepeleka kwa Ndugai ili kumuongezea nguvu. Humu Jamvini haina mashiko.Hawa ndio walioridhika kukatwa Mishahara na kudhalilishwa kingono
Mbarikiwe sana na Mungu awe nanyi daima. Hongera. CHADEMA tafuta mwandishi wa histora za siasa aandike kitabu cha kumbukumbu ya kipindi cha Magufuli kuweka hawa mashujaa katika maandishi! Itapendeza ukiweka majina yao na majimbo yao.View attachment 1480887
Kumbuka kwamba hawa ndio wabunge waliobambikiwa kila aina ya kesi za kutunga , wametukanwa matusi ya kila aina na wamedhalilishwa ndani ya bunge huku Spika akichekelea lakini wamesimamia kile kilichowapeleka hadi mwisho wa safari , heshima waliyojijengea itaendelea kudumu milele .
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda Waheshimiwa hawa dhidi ya Majaribu ya Shetani
Mbatia sio mpinzani, don't be silly!Mbunge wa upinzani atakayekumbukwa kwa michango yake yenye tija kwa taifa ni mh.James Mbatia tu,wengine ni ovyo tu,matusi,kejeli ,fujo na ujinga ujinga mwingine