Picha: Wajue baadhi Wabunge Mashujaa wa CHADEMA waliokataa kuuza utu wao, wamo walioahidiwa hadi Tsh bil 1

Mungu atawalipa changamoto zote mlizopitia lakini kugeuzwa bidhaa na kununuliwa kama wenzenu walivyofika dau
 
Siku ambayo Mbatia atakuwa mpinzani serious naye utamchukia. Sababu kwa Nini unamsifu Sasa Ni kwa sababu Hana madhara kwako muda huu. You definitely oppose what gves you trouble and not what gives you a ride!
 
Mkuu tutajie majina ya hawa mashujaa wetu
 
Historia itawakumbuka daima.. Mwendo wameupiga.. Vita wameimaliza... Ilani wameilinda... Wabarikiwe....
Hayo maneno ni mazito sana kwa binadamu ambaye yupo safarini. Subirini hao hao mtaona kitachokuja! Wataendelea kuunga mkono juhudi msiwapambe kwa maneno mazito kiasi hiki.
 
Chanda chema huvikwa pete.
 
Heshima Sana kwao!! Yaani kina Silinde , Lwax ,30 , Lijualibutu etc ni TAKATAKA kwa Sasa!!! Washatumika kama NDOCOM sasa wapo kwenye DUSTBIN!!!! Chadema kwasasa wafanye vetting ya kutosha kupitisha wagombea wao wa ubunge na viti maalum,wafia chama kama kina Hilda Newton hauwezi kuja kusikia wamesaliti au kuunga mkono Juhudi,mtu kama Heche,Sugu au Lema wataanzaje kuunga mkono JUHUDI?
 
Hata ukiwaona machoni unajua hawa ni "wazarendo", sio wale "wazarendo" wengine wanaume wapiga vigelegele na yesu wao
 
Kuna ulazima wa kutopokea tena hawa UVCCM waliokosa nafasi za kugombea kwao, japo siasa za uchaguzi ni namba, ni bora tuwe 10 pure, kuliko 1000 makapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…