Picha: Wajue baadhi Wabunge Mashujaa wa CHADEMA waliokataa kuuza utu wao, wamo walioahidiwa hadi Tsh bil 1

Hizo ni watu katika watu wenye you kuna mwanachama anaitwa Zubaida huyo n genius hapo chadema mtunzeni
 
Hizi blah blah za CHADEMA zimetutesa. Imefika mwisho uchaguzi ujao hatufanyi makosa
Zimewatesa wewe na nani vuvuzela wa Lumumba??
Jifunze kuvumilia maana upinzani upo kikatiba, na watarudi wengi bungeni!!
 
Huu ndo muda sahihi wa kuondoka waondoke mapema ili vyama vijipange wakubaki na wabaki
 
Hizi blah blah za CHADEMA zimetutesa. Imefika mwisho uchaguzi ujao hatufanyi makosa.
Kama mkiweza pambana na shida za watz upinzani utajifia wenyewe,lkn Kama mtawekeza kupambana na upinzani kuliko shida zetu kwa kutumia Kodi zetu mtakuwa mnaukimbiza upepo
 
Mbunge wa upinzani atakayekumbukwa kwa michango yake yenye tija kwa taifa ni mh.James Mbatia tu,wengine ni ovyo tu,matusi,kejeli ,fujo na ujinga ujinga mwingine
Huyo ni ccm,mkishindwa kuzijibu hoja mnaziita matusi.Uliona juzi Mdee kawaburuza wabunge wote wa ccm wameshindwa jibu hoja wamebakia taarifa, taarifa.
 
HESHIMA KUBWA SANA KWA MAMA RUTH MOLLEL ...PAMOJA NA KUWA RAFIKI WA KARIBU TOKA ZAMANI WA LOWASSA ....PIA AMEKUWA KWENYE SYSTEM KWA MUDA MREFU AMEFANYA KAZI IKULU TOKA ENZI YA MWINYI ....LAKINI HAYO YOTE HAYAKUMFANYA AKUBALI KUHARIBU HISTORIA YA MAISHA YAKE KUWA MTU ALIYEWAHI KUNUNULIWA KAMA BIDHAA SOKONI ........
 
Kuna ulazima wa kutopokea tena hawa UVCCM waliokosa nafasi za kugombea kwao, japo siasa za uchaguzi ni namba, ni bora tuwe 10 pure, kuliko 1000 makapi
Kabisa waangalie vyema yaani wachukue watu ambao hata wakiwa CCM walikuwa wanaikosoa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…