Picha: Wajue baadhi Wabunge Mashujaa wa CHADEMA waliokataa kuuza utu wao, wamo walioahidiwa hadi Tsh bil 1

Mungu awabariki,
Mungu ibariki CDM
 
Mlevi wa taifa kawanogesha kiasi hawaoni mwingine
 
Kudhalilishwa kingono kwani wao ni DC Kisa+lawe? Au wake wa mabalozi wanao tandikwa hadi mimba na kuwasahau wenza walio nje?
Ndio hivyo wameamuwa kuwa sexy machines za cdm
 
Kwani upinzani ni Chadema tu? Imekufa sababu ya ubinafsi wa viongozi Chadema. Wananchi wameichoka,wamegundua ni matapeli wa kisiasa.
Naona unajifariji kwa hao waliofika bei.

Sijawahi kumuona mwachama wa democrat akiwausia republicans nini cha kufanya . Komaeni na Ccm, mambo ya Cdm waachiwe wenyewe.
 
Matusi na uchawi ndio njia pekee ya masikini kujiliwaza
Kwa kumuweka mikononi mbowe kiasi cha kumsahau mwanae alielala ndani akakukumbuka wewe uliekuwa umbali mrefu,ndio umepelekea ujione tajiri,mrithi pekee wa mali za Mbowe. Na kuwaona wengine wote ni masikini!?
 
[emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…