Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimgalagaza Mzee Wassira KESI ya Uchaguzi dhidi ya Bulaya 2015 😃Hv jamaa bado anaendaga makamani? Mm ninacho fahamu pamoja na maigizo mengi ya serikali kuu ila mahakama huwa inamuelewa sana tundu lissu.
Picha ni ya zamani, sasa hivi Lissu mvi zishaanza kumtokaIla Lissu ana hekaheka jamani!!
Hivi ameshakua stable kiasi cha kuweza kuhandle hizo purukushani???
Cc Smart911