Picha: Wakili msomi Tundu Lissu akiwa na Mahakamani na mteja wake Askofu Mwanamapinduzi

Bora awe bize kufanya KAZI. Siasa za kuingiza migogoro na Polisi hazijawahi kufanikiwa upande wake
 
Ila Lissu ana hekaheka jamani!!

Hivi ameshakua stable kiasi cha kuweza kuhandle hizo purukushani???



Cc Smart911
 
Ila jamaa pamoja na kuwa huwa simkubali kabisa lakini ana moyo sana wa kusaidia watu kwenye haya mambo ya kimahakama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…