Pre GE2025 Picha: Wameamua kumdhalilisha Peter Msigwa. Ukimtazama usoni amefadhaika sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jamani uchawi upo wakuu
 
Nilisema Msigwa ataishi maisha ya tabu na ya kujidhalilisha,
Sasa hivi wanamtumia kumeza matapishi yake, sasa havai tena suti ni mwendo wa kauka nikuvae
 
Mbona hivi, yaani Msigwa amekuwa wa kubebeshwa picha ya Samia huku akisimamiwa na askari wa CCM Rapid Force! Masikini Msigwa uliyataka mwenyewe ona sasa hata wanao wataaibika kukutazama usoni.
 
Ona kauli zake za awali;
 

Attachments

  • IMG-20240721-WA0028.jpg
    72.9 KB · Views: 1
Hii inaitwa kuchamba kwingi ....
Kumbe Polepole Alisha mwaga Michele hadharani?
 

Attachments

  • IMG-20240721-WA0029.jpg
    52.9 KB · Views: 1
Soon anakuwa DC au Katibu wa CCM Wilaya au Mkoa. Wewe utabaki bingwa wa kimkejeli JF yeye akipiga maisha mtaani!
Hizi akili za hovyo ndiyo zinamaliza hili taifa, utakuta mijitu mizima yenye uwezo wa kufanya kazi inalilia na kuongijea teuzi! What a shame! Kuna mijitu hasa ndani ya CCM nchi unafanya kazi kwa kujioendekeza lengo teuzi! Kuna Hawa sasa wanaojiita makada, eanaitana comred, ukikutana nao wanawaza teuzi tu, huwa nacheka kwa dharau ! Sababu haiwezekani watu zaidi ya 200 katika halmashauri 1 wote mnasubiri teuzi za Ukurugenzu na u-DC tatizo sana.
 
Hivi hizo nguo wamempatia pair nyingi kwasababu haruhusiwi kuvaa suti tena.
Hizo ni katika kumfanya awe CCM kweli. Unakumbuka hadithi ya ''ng'ombe wenye mkia''

Hii ni dhalili sana kutoka mtu mwenye nguvu na ushawishi katika jamii hadi mbeba picha za CCM
Mungu ajalie tusijemuona anabeba viti .

Nimeshauri sana huyu bwana, kuhama Chama ni haki yake wala si tatizo.
Tatizo ni kulamba matapishi akieleza mabaya aliyoyahubiri na kuyasimamia wiki chache na miaka mingi iliyopita akiwa, mwanasiasa, Mchungaji n.k.

Msigwa ajikite kueleza mazuri ya CCM na kubeba picha! asifakamie 'matapishi' yake.
 
Usimwamini mwanasiasa
 

Peter Msigwa ataigawa CCM . Akiteuliwa itaonekana kuhamia CCM ni tiketi ya kuteuliwa.

Itarudisha kumbu kumbu za maumivu makali ya akina Katambi, yule wa jimbo la Momba n.k.

Kuna CCM asili wanaopigania chama kwa jasho na damu, hawa wanaishia kupanga viti, kofia na vitenge

Akiteuliwa tu, kundi la CCM asili litaibuka upya, mpasuko utazidi.

Mark my words
 
Acha wivu dogo usijeitwa mchawi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…