Picha: Wanamagambo wa Israel walioangamizwa leo na Jeshi la Hezbollah

Kwa Yale makombora 180 waliua sisimizi tuu. Kuna mlevi mmoja mji wa Yeriko mpalestina ndio walifanikiwa kumbomoa. Na Kuna wayahudi wawili walijeruhiwa Kwa mshtuko tuu na vile vishindo.
Asubuhi Kuna shambulizi la face to face la ghfla lilifanyika ndo likatoa roho za hao wayahudi 6. Ila magaidi watalipia Kwa wanacho kuifanya daima dumu hawawezi kuachiwa
Mtwaaaaa
Kumbe,basi sawa
 
Kwa nini hizi mada za vita zinakua lugha kali
Hizo mada zinamashabiki aina 3:
1. Timu ya waounga mkono Upande A e.g. Hizbollah, HAMAS, Iran, Houth n.k.
2. Timu ya wanaounga mkono Upande B e.g. Israel, USA, EU, n.k
3. Timu ya wanaopima Uhalisia wa Hali iliyopo baina ya A & B e.g. Nani anaelemewa, nani anatumia weledi zaidi etc.
Katika makundi hayo, mashabiki wanatofautiana katika kuongea. Wengine hawaoni kama hoja yao itaeleweka vizuri wasipoweka matusi, wengine wanaona ni lazma waongee kwa hasira (kutoa povu) ili waeleweke kile wachosema n.k., Wengine hutumia lugha mchanganyiko - kiingereza na kiswahili, ilhali wengine huchapiamo kilugha chao n.k.
Basi tuseme ni vurugu tupu. Ila cha msingi ni wewe msomaji uchambue na uweze kumwelewa mtoa Hoja anataka kusema nini.
 
Nimekuelewa sana mkuu
 
Picha: hawa ndo Wanamagambo wa Israel walioangamizwa leo na Jeshi la Hezbollah

Hawa ndo magaidi na wanamgambo walioangamizwa na Hezbollah leo

Captain Eitan Itzhak Oster, Captain Harel Etinger, Captain Itai Ariel Giat, Sergeant First Class Noam Barzilay, Sergeant First Class Or Mantzur, Sergeant First Class Nazaar Itkin, Staff Sergeant Almken Terefe and Staff Sergeant Ido Broyer, all fell during combat against Hezbollah resistance in southern Lebanon.

May their souls forever be in hell. Seven IDF terrorists liquidated swifty and found out in battle in Lebanon.

Soma Pia: Je, uzoefu siyo tatizo kwa wayahudi huko vitani? Angalia umri wa huyu kamanda aliyeuawa huko Lebanon.

[emoji2732][emoji2380]Capt. Harel Etinger 23
[emoji2732][emoji2380]Capt. Itai Ariel Giat 23
[emoji2732][emoji2380]Staff Sergeant Noam Barzilay 22
[emoji2732][emoji2380]Staff Sergeant Or Mantzur 21
[emoji2732][emoji2380]Staff Sergeant Nazar Itkin 21
[emoji2732][emoji2380]Sergeant Almken Terefe 21
[emoji2732][emoji2380]Sergeant Ido Broyer 21

R.I.P hakika wamemalizwa mwendo[emoji2380]View attachment 3113376
 
😃😃😃 hii vita wangeiweka kwenye betting ingekuwa poa kweli.
kuna upande ukipiga unahesabu wamekufa watu kadhaa na picha zinapika.
upande mwingine ukipiga😃 wenyewe katafunua, hata idadi haieleweki
 
Picha: hawa ndo Wanamagambo wa Israel walioangamizwa leo na Jeshi la Hezbollah

Hawa ndo magaidi na wanamgambo walioangamizwa na Hezbollah leo

Captain Eitan Itzhak Oster, Captain Harel Etinger, Captain Itai Ariel Giat, Sergeant First Class Noam Barzilay, Sergeant First Class Or Mantzur, Sergeant First Class Nazaar Itkin, Staff Sergeant Almken Terefe and Staff Sergeant Ido Broyer, all fell during combat against Hezbollah resistance in southern Lebanon.

May their souls forever be in hell. Seven IDF terrorists liquidated swifty and found out in battle in Lebanon.

Soma Pia: Je, uzoefu siyo tatizo kwa wayahudi huko vitani? Angalia umri wa huyu kamanda aliyeuawa huko Lebanon.

[emoji2732][emoji2380]Capt. Harel Etinger 23
[emoji2732][emoji2380]Capt. Itai Ariel Giat 23
[emoji2732][emoji2380]Staff Sergeant Noam Barzilay 22
[emoji2732][emoji2380]Staff Sergeant Or Mantzur 21
[emoji2732][emoji2380]Staff Sergeant Nazar Itkin 21
[emoji2732][emoji2380]Sergeant Almken Terefe 21
[emoji2732][emoji2380]Sergeant Ido Broyer 21

R.I.P hakika wamemalizwa mwendo[emoji2380]View attachment 3113376
Laana juu yao na makazi yao ya milele yawe ni kwenye moto mkali wa Jahanam.Semeni AMINA.
 
R.I.P Wapendwa.

GOD BLESS ISRAEL
 
Back
Top Bottom