Picha: Wanamagambo wa Israel walioangamizwa leo na Jeshi la Hezbollah

Kumbe,basi sawa
 
Kwa nini hizi mada za vita zinakua lugha kali
Hizo mada zinamashabiki aina 3:
1. Timu ya waounga mkono Upande A e.g. Hizbollah, HAMAS, Iran, Houth n.k.
2. Timu ya wanaounga mkono Upande B e.g. Israel, USA, EU, n.k
3. Timu ya wanaopima Uhalisia wa Hali iliyopo baina ya A & B e.g. Nani anaelemewa, nani anatumia weledi zaidi etc.
Katika makundi hayo, mashabiki wanatofautiana katika kuongea. Wengine hawaoni kama hoja yao itaeleweka vizuri wasipoweka matusi, wengine wanaona ni lazma waongee kwa hasira (kutoa povu) ili waeleweke kile wachosema n.k., Wengine hutumia lugha mchanganyiko - kiingereza na kiswahili, ilhali wengine huchapiamo kilugha chao n.k.
Basi tuseme ni vurugu tupu. Ila cha msingi ni wewe msomaji uchambue na uweze kumwelewa mtoa Hoja anataka kusema nini.
 
Nimekuelewa sana mkuu
 
 
Tukianza. Kuwatembezea bakola msikilize pray for Iran

Mnashuhudia raia wakiishangilia Iran nao wakipiga msianze kusema Israel inauwa Raia
= bakora.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ hii vita wangeiweka kwenye betting ingekuwa poa kweli.
kuna upande ukipiga unahesabu wamekufa watu kadhaa na picha zinapika.
upande mwingine ukipigaπŸ˜ƒ wenyewe katafunua, hata idadi haieleweki
 
Hao ni Magaidi acha wafe tu
 
Laana juu yao na makazi yao ya milele yawe ni kwenye moto mkali wa Jahanam.Semeni AMINA.
 
R.I.P Wapendwa.

GOD BLESS ISRAEL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…