PICHA: Wananchi Kariakoo wamgomea aliyejitambulisha kama Polisi kuondoka na mtuhumiwa

Safi sn, kwanini hawataki kuvaa uniform kama wana nia njema?
 
Hiliswali ndio nilitaka kuuliza hata amm wasingentoa
Hao inawezekana sio askari. Wawahoji vizuri na ikiwezekana wawakamate na kuwapeleka hapo centre wakawashtaki na wasiachiwe mpaka mkuu wa kituo cha polisi Magomeni apige simu kutoa maelezo. Na aeleze ni kwanini amevuka himaya yake ya kazi na kwenda kumkamata mtu katima himaya ya wengine.
 
Safi sana, yaani sasa hivi wananchi wenyewe tufanye kazi ya kujirinda . Hao polisi wamechaguwa kuwa walinzi wa CCM na serikali yake .
 
Ndio vibaka wa CCM hao jamani tuwakatae na kuwafukuza!
 
Wakichomwa wawili ..watatu sikumoja hizi mambo ndio zitakuww mwisho wake ...
 
Wadau Walisahau kumpigia mkuu wa kituo cha Magomeni tena unaweza kuta hao wanasemekana ni askari toka kituo cha Magomeni hawana, (hawaijui), namba za mkuu wa kituo hicho
 
Nyie furahieni hiyo hali tu, mtakuja kupatwa maswaibu ya kucharangwa na mwizi halafu unamkuta sehemu unamuomba askari akukamatie atakataa uone tutakuwa tunaishije!
 
Polisi wanaaminika kwa wana CCM tu....raia mwenye akili timamu hawezi kumuamini polisi
 
Mhu! Yaani askari atoke kituo cha Buguruni aje kukamata mtu Kariakoo? Inawezekanaje, wakati Kariakoo kuna kituo kikubwa cha polisi? Mbona inatia mashaka, labda kama sheria ya ukamataji imenipita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…