PICHA: Wananchi Kariakoo wamgomea aliyejitambulisha kama Polisi kuondoka na mtuhumiwa

Polisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo

Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama ukutani.
Asante Sana Sana
 
Hao inawezekana sio askari. Wawahoji vizuri na ikiwezekana wawakamate na kuwapeleka hapo centre wakawashtaki na wasiachiwe mpaka mkuu wa kituo cha polisi Magomeni apige simu kutoa maelezo. Na aeleze ni kwanini amevuka himaya yake ya kazi na kwenda kumkamata mtu katima himaya ya wengine.
Hiyo ni kawaida kwa kazi za polisi hasa wapelelezi au askari kanzu
 
Safi sana, baada ya kumsikia amiri jeshi mkuu akiwapa kichwa askari wake waendelee na matendo yao ya kupoteza na kuua watu huku akikazia kuwa "Kifo ni Kifo tu", naona sasa raia wameamua kujilinda.
Kwani lini kifo hakijawa kifo?

Umenikumbusha baniani aliyekuwa anachomwa baada ya kufa👇🏾
 
Attachments

  • VID-20240920-WA0021.mp4
    2.2 MB
Hiyo ni kawaida kwa kazi za polisi hasa wapelelezi au askari kanzu

..askari kanzu / mpelelezi hatakiwi kujulikana wakati wowote ule ktk majukumu yake.

..akianza kubeba bunduki na kutembea na pingu dhana nzima ya uaskari kanzu inakuwa imepoteza maana.
 
Polisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo

Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama ukutani.
Asante Sana Sana
 
..askari kanzu / mpelelezi hatakiwi kujulikana wakati wowote ule ktk majukumu yake.

..akianza kubeba bunduki na kutembea na pingu dhana nzima ya uaskari kanzu inakuwa imepoteza maana.
Si ndio maana wanateka na kuua na hamuwajui ..... sasa wananchi wanataka wajulikane ama laah waache kuteka na kuua
 
Polisi wameyaanzisha wenyewe. Tunakoelekea wataanza kudhuriwa.
Btw, unasimamiaje utii wa sheria kwa kuvunja sheria?

Yule mtu anayefanya makosa kuvaa sare za jeshi wakati ni raia amejidahau sana na kuanza kutoa hotuba za kijeshi.

Hata Korea nchi ya kidikteta rais ni raia na hua havai unifomu za jeshi .

Hawa madikteta uchwara na raia uchwara wanapenda kuingia madarakani kidemokrasia halafu wakishakalia kiti wanaota mapembe na kuendesha nchi kwa amri za kijeshi badala ya katiba .

Shame upon her .
 
Polisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo

Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama ukutani.
Wanatakiwa kujitasmini kazi imeshawawea ngumu aisee.
 
Polisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo

Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama ukutani.
Si wange watekenya kidgo. Wakalainika
 
Polisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo

Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama ukutani.

Polisi waendelee kujitafakari. Wametengeneza tatizo kubwa sana ambalo litakuwa linaleta ugumu kwenye utekelezaji wa kazi zao.
Jamii inapokosa majibu kwenye maswala ya watu kupotea, na kama mtu anashushwa kwenye basi mchana kweupe halafu hakuna anayejua ni nani aliyemshusha, tutegemee nini?
 
Back
Top Bottom