Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Asante Sana SanaPolisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo
Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama ukutani.