We have them now
Yaani wanaona fahari kuua watu? Kisa tu raia hawana silaha? Hivi waafrika tuna laana gani? Yaani utadhani yenyewe itaishi milele!!
Jambo moja ni kuua,jambo la pili ni kufurahia jambo hilo
Narudia tena usikutane na ntu kutoka mtandaoni haswa hapa jf
kinachotakiwa ni samuya kujiuzulu tofauti na hapo moto moto ....risasi ,maiti hatuogopi tena vichwa vyetu na mioyo yetu imejaa hasira kwa ndugu yangu kufatwa ndani na kupigwa risasi..haita isha hadi issheAise hii ni hatari sana kwa umoja wa kitaifa. Mhe Rais afanye kitu. Hata kwa kutuzuga. Nimeota ndoto. Watu wakiandamana hali itakuwa mbaya sana. Zaidi ya hii iliyo tokea tarehe 29. Serikali, viongozi wa dini, mashirika ya kiraia na haki za binadamu. Nawaomba sana mkae chini mjadiliane otherwise kuendelea kutambishiana matamko siyo sali aise
Sasa wewe badala ya kufanya kazi ukaenda kuharibu miundo mbinu kwanini usishughulikiwe?Yaani wanaona fahari kuua watu? Kisa tu raia hawana silaha? Hivi waafrika tuna laana gani? Yaani utadhani yenyewe itaishi milele!!
Waliouliwa mitaani na majumbani mwao tarehe 30 na 31 waliharibu miundo mbinu gani?Kuna wakati jaribu kutumia akili kufikiri.Sasa wewe badala ya kufanya kazi ukaenda kuharibu miundo mbinu kwanini usishughulikiwe?
Mtu maskini huwaza mali muda wake woteSasa wewe badala ya kufanya kazi ukaenda kuharibu miundo mbinu kwanini usishughulikiwe?
Mkuu 'stroke', imekuwaje tena katika miezi hii michache iliyopita?Sasa wewe badala ya kufanya kazi ukaenda kuharibu miundo mbinu kwanini usishughulikiwe?
Sasa wewe badala ya kufanya kazi ukaenda kuharibu miundo mbinu kwanini usishughulikiwe?
Wameshamjua huyo kidampa sasa wanapatafuta kwake, mwindaji kageuka mwindwaji.Mkitudip tunawapigia…. Mr. Kudip kafuta post zote ila watu walivyo fasta wanazo zote. Polisi please nendeni shule.
Wanaowatumia wanawadharau sana.
Ni issue ya muda tu , soon tutaheshimiana