PICHA: Wauaji wa vijana kwenye maandamano wakijitapa mtandaoni

PICHA: Wauaji wa vijana kwenye maandamano wakijitapa mtandaoni

Kumbe Stroke pamoja na kuwa mwanasiasa nuda mrefu bado una uelewa mdogo wa mambo, hapa tuongeler msingi wa tatizo na sio matokeo.

Nchi yetu muda wa kuilinda ni sasa. Unamwambia mtu aheshimu miundo mbinu wakati kafiwa na ndugu tena kikatili? Atajali?

Niwaombe wakuu wa Nchi na ulinzi wachukue hatua haraka kuzuia haya.
Sudani ina madini mengi kuliko Tz lkn inawaka moto daily, sisi sio kisiwa
Kuharibu vitu sio njia sahihi ya kutuma ujumbe kwakuwa serikali mwisho wa siku itawakamua wananchi ili ipate fedha za kurekebisha hiyo miundombinu.

Badala ya fedha kwenda kufanya mambo mengine zinatumika kurekebisha vitu vilivyoharibiwa makusudi.

Sisi bado tunajitafuta halafu tunajikwamisha wenyewe.
 
Yaani wanaona fahari kuua watu? Kisa tu raia hawana silaha? Hivi waafrika tuna laana gani? Yaani utadhani yenyewe itaishi milele!!
Kuna ujumbe mkubwa zaidi unaoletwa na hao watu kwa waTanzania wote.
Wanatuonyesha ni kiasi gani nchi ilivyotoka kwenye mfumo rasmi wa kiutawala.

Watu wanajitokeza hadharani na kujitangaza wazi wazi kuwa wauaji wa raia; wakijuwa hakuna chombo chochote cha kiserikali kinachoweza kuwawajibisha!

Sasa hii miaka mitano au sijui mingapi ya Samia na hali ya namna hii; nchi itakuwa na hali gani hii>

Mambo ya namna hii tulikuwa tukiyasikia kwingineko, sasa yametufika wenyewe!
 
Aise hii ni hatari sana kwa umoja wa kitaifa. Mhe Rais afanye kitu. Hata kwa kutuzuga. Nimeota ndoto. Watu wakiandamana hali itakuwa mbaya sana. Zaidi ya hii iliyo tokea tarehe 29. Serikali, viongozi wa dini, mashirika ya kiraia na haki za binadamu. Nawaomba sana mkae chini mjadiliane otherwise kuendelea kutambishiana matamko siyo sali aise
Hakuna Mauaji yatakayotokea tena,acha woga
 
Kuharibu vitu sio njia sahihi ya kutuma ujumbe kwakuwa serikali mwisho wa siku itawakamua wananchi ili ipate fedha za kurekebisha hiyo miundombinu.

Badala ya fedha kwenda kufanya mambo mengine zinatumika kurekebisha vitu vilivyoharibiwa makusudi.

Sisi bado tunajitafuta halafu tunajikwamisha wenyewe.
Lakini akili yako haikupeleki upande wa pili kujiuliza kama "kuua" hao watu ndiyo njia pekee ya kuzuia huo uharibifu.
Hii njia ya kuua watu nani kaianzisha ndani ya nchi hii?
Kwa nini uhai wa watu ukose thamani hata ndogo tu ya kuthaminiwa.

Mwanao akivunja mkokoteni wako hapo nyumbani unamwadhibu kwa kumuua?
 
Sikupingi Mr Stroke, msisitizo wangu ni kueleleza Macho kwenye Chanzo.
 
Sometimes I wonder if we deserve this…

Manake haiingii kabisa akilini.
It's harder to imagine this is happening right here, in Tanzania!

Hawa watu miaka yote walikuwa wapi. Why now. Is it even necessary?

Samia angeweza kutawala tu kirahisi kabisa hapa bila ya mambo ya namna hii.

Unfortunately, she is wrecking her own boat while she is at the deepest part of the ocean
 
Watanzania ni wapole sana!!

Kuna nchi hao wasingekuwa hai moaka sasa ama wangekuwa wanaishi kama fungo!

NB:Ukiona nguchiro anakufanyia mbwembwe jua yupo karibu na shimo lake!

Hao walihakikishiwa wana kinga dhidi ya mashtaka kwa watakachokifanya.
 
It's harder to imagine this is happening right here, in Tanzania!

Hawa watu miaka yote walikuwa wapi. Why now. Is it even necessary?

Samia angeweza kutawala tu kirahisi kabisa hapa bila ya mambo ya namna hii.

Unfortunately, she is wrecking her own boat while she is at the deepest part of the ocean
Upole na ukondoo wa Watanzania unanikera sana.

Those fools are taunting everybody and we can’t do shit to them!

Only in Tanzania.
 
Kuharibu vitu sio njia sahihi ya kutuma ujumbe kwakuwa serikali mwisho wa siku itawakamua wananchi ili ipate fedha za kurekebisha hiyo miundombinu.

Badala ya fedha kwenda kufanya mambo mengine zinatumika kurekebisha vitu vilivyoharibiwa makusudi.

Sisi bado tunajitafuta halafu tunajikwamisha wenyewe.
Ila kuua watu ni sahihi?
 
Lakini akili yako haikupeleki upande wa pili kujiuliza kama "kuua" hao watu ndiyo njia pekee ya kuzuia huo uharibifu.
Hii njia ya kuua watu nani kaianzisha ndani ya nchi hii?
Kwa nini uhai wa watu ukose thamani hata ndogo tu ya kuthaminiwa.

Mwanao akivunja mkokoteni wako hapo nyumbani unamwadhibu kwa kumuua?
Kuna gharama za kurestore order.

Si ungi mkono mauwaji kwa namna yeyote ile , ila kilichotokea ni madhara ya maamuzi ambayo sio sahihi kwa wale waliofanya vurugu.

Kama ungepata fursa ya kuona kilichotokea ungekuja na mawazo mengine kabisa.

Wale vijana walikosea , walichokifanya kwa namna yeyote ile hakikuwa sahihi.

Adhabu ya serikali na nyumbani ni tofauti, ukitaka kuvuruga amani kwakweli utakumbana na wenye kazi zao.

Nashauri ipatikane njia nyingine ya kufikisha message kama ipo.

Maana so far hakuna theme ya hizo vurugu zinazofanyika, hakuna viongozi, kinachoonekana ni vurugu tu, hatuwezi endelea hivi.

Lazima ifahamike wanachotaka ni nini na wateue watu wa kuwasemea yafanyike majadiliano.

Ila vurugu tu bila kujua chanzo na suluhu hapana, tutakuwa Taifa la ajabu sana.
 
Aise hii ni hatari sana kwa umoja wa kitaifa. Mhe Rais afanye kitu. Hata kwa kutuzuga. Nimeota ndoto. Watu wakiandamana hali itakuwa mbaya sana. Zaidi ya hii iliyo tokea tarehe 29. Serikali, viongozi wa dini, mashirika ya kiraia na haki za binadamu. Nawaomba sana mkae chini mjadiliane otherwise kuendelea kutambishiana matamko siyo sali aise
Mhe rais ni nani? Muuaji hatakiwi kuitwa mheshimiwa hata siku moja
 
Aliyeamua kuua wakati wa uchaguzi alijiharibia mwenyewe, hii sidhani kama in reverse kwa namna navyojua hawa vijana

Sisi tunamuomba Mungu tu!
 
Hii inatokea kwenye nchi ya kusadikika afrika tu (dubai, south afrika, labda kongo kwa utajiri tukonazo sawa tu kwanini zimendelea kuliko sisi? shida ni viongozi wasiokuwa wazalendo, na wabinafsi yaani pesa wanaiba ndani wanahifadhi uswisi, ni afrika pekee utaona hii, mzungu hawezi kuchota ulaya pesa ahifadhie afrika matumizi ya akili tu waafrika si hatuna), nchi zilizostaarabika huwezi kuta aliyeshikilia mpini akifanya mauaji ya wanaonyonywa kwa kodi wakidai haki zao, maswali ni mengi kuliko majibu, je huyu mfalme juha yuko pale kwa maslahi ya wananchi? kweli yaani analazimasha kubakia ili awaletee maendeleo?:
Sasa tufanyeje:
1. watawala wa aina hii tuwakatae, tusiwaheshimu hata kwa kutumia akaunti feki, tuwazomee wakitoa hutuba, wasipate amani kabisa kwenye utawala wao, watawala wasioheshimu maisha ya wengine.

2. Swali la msingi(mengine yote yanajibika) linabaki kwa hawa waliotuua? Hawa wanaotupa hukumu isiyolingana na kosa, thamani ya sheli au mwendokasi hailingani na uhai wa mtu mmoja abadani na tuheshimiane tusilinganishe uhai na vitu vya hovyo, dharau hizo! Tupunguze unyonge mapolisi tunaishi nao tuwasalimie
 
Waliouliwa mitaani na majumbani mwao tarehe 30 na 31 waliharibu miundo mbinu gani?Kuna wakati jaribu kutumia akili kufikiri.
Hizo akili ndio uzitumie wewe, kabla ya hizo Tar nani alifuatwa..?? Ujinga wenu ndio umeponza wasio na hatia...
 
Kuharibu vitu sio njia sahihi ya kutuma ujumbe kwakuwa serikali mwisho wa siku itawakamua wananchi ili ipate fedha za kurekebisha hiyo miundombinu.

Badala ya fedha kwenda kufanya mambo mengine zinatumika kurekebisha vitu vilivyoharibiwa makusudi.

Sisi bado tunajitafuta halafu tunajikwamisha wenyewe.
Na uhai atakamuliwa nani ili urud?
 
Waliouliwa mitaani na majumbani mwao tarehe 30 na 31 waliharibu miundo mbinu gani?Kuna wakati jaribu kutumia akili kufikiri.
Kumjibu ni kumpa sifa asizokuwa nazo.
Dawa ya wapumbavu kama hao ni kupita kimya kimya.
 
Back
Top Bottom