Labda watangnyika siasa hamuijui vizur,day one 1964 siku ya muungano wazanzibar wanauwa kama kuku,,na waliokuwa wanayafanya hayo ni watanganyika kisasi ni haki kuna miaka 10 mbele ya mama lazima mtanyooka
Sikumbuki kuwahi kukusoma popote humu JF hadi siku ya leo.
Ngoja nikujibu kwa staha kwa leo:
Kinacho thibitika wazi kabisa sasa hivi ni kwamba watu wa visiwani mna matatizo makubwa sana..
Kuna mambo mengi yanachangia hali hiyo; lakini moja wapo ya mambo hayo muhimu ni huu utamaduni mlio urithi toka kwa waarabu. Nchi zote za kiarabu ni za matatizo tupu, hata hiyo Saudi Arabia, na kwingine ni matatizo tupu; mizozo tu kila mara.. Saudi Arabia kumenyamaza kwa sababu ya utawala wa mkono wa chuma, lakini hawapo salama.
Hayo mauaji yooote unayoyasema wewe ni mizozo iliyotokana na nyinyi wenyewe, na kundi lenu lililomo ndani ya CCM kuwatumia wenzao wa Tanganyika kuwawajibisha mahasimu wao.
Hakuna mauaji hata mara moja yaliyotokana kwa sanbabu waTanganyika walikuwa na malalamiko yoyote na wazanzibari!
Kwa mtu mwenye akili timamu, usingethubutu hata kutishia kulipiza kisasi. Utaanzia wapi?
Samia unaye mtegemea kisha jiweka kitanzi shingoni; huyu usiwe na matumaini naye tena.
Moja ya mategemeo ya muungano ilikuwa ni kuwasaidia wazanzibari msichinjane mara kwa mara kutokana na hulka yenu ya ugomvi kila mara kati yenu.
Bila ya kuwepo muungano hali yenu ingekuwa ni duni zaidi kuliko hata hiyo unayodai imesababishwa na waTanganyika.
Tukiwaacha, kila siku mtakuwa mnachinjana tu kama kuku.
Lakini sasa tabia yenu hii mbaya naona mnaivusha bahari na kuileta huku. Tutawakomesha.