PICHA: Wauaji wa vijana kwenye maandamano wakijitapa mtandaoni

PICHA: Wauaji wa vijana kwenye maandamano wakijitapa mtandaoni

Polepole.

"Nchi ni kama Haina raisi"

Mwisho wa kunukuu.
 
Siku ya mallumbano ya hoja pale ITV kuna kijana alitamba hivihivi
Nikahoji hapa jukwaani;
1. Siku ya uchaguzi alikuwa Zanzibar. Alikuwa anafanya nini huko?
2. Yule kijana ni nani?
3. Alipata wapi confidence ya kusema wakitoka D9 nao watadili na waandamanaji?


Itafutwe ile clip ya ITV na yule kijana atasaidia sana mchakato. Hawa vijana wa kidola wanatumika vibaya sana
 
Sasa wewe badala ya kufanya kazi ukaenda kuharibu miundo mbinu kwanini usishughulikiwe?
Embu jitafakirini haiwezekani maeneo ambayo watu hawakuandamana nako wanapigwa risasi na kamata kamata isiyo na tija.

Huku nilipo hata nzi hakuandamana ila kuna watu kadhaa wamepigwa risasi!! Na wengine kupotea mpaka leo
 
Upole na ukondoo wa Watanzania unanikera sana.

Those fools are taunting everybody and we can’t do shit to them!

Only in Tanzania.
Mind you, isingekuwa "upole" huo, things would have been worse a long time ago

These outcasts have taken advantage of that; but they are not getting away with it.

This is going to change everything from now onwards.
 
Si ungi mkono mauwaji kwa namna yeyote ile , ila kilichotokea ni madhara ya maamuzi ambayo sio sahihi kwa wale waliofanya vurugu.

Kama ungepata fursa ya kuona kilichotokea ungekuja na mawazo mengine kabisa.
Kwa hiyo tuseme wewe hujaona miili ya waTanzania iliyorundikwa kama takataka, au siyo?

Utapata wapi nguvu za kutetea hiki kilicho tokea hapa!

Aiiiseee! umeua wanao wangapi walioharibu mali uliyoleta nyumbani kwako!

Mkuu, 'Stroke', naona umenikomesha kabisa, sina hamu tena ya kukusoma wala kujibu chochote katika maoni yako.

Sawa. Endeleeni na hiyo miundo mbinu yenu huku mkiwamaliza waTanzania wanaodai HAKI tu ifanyike.

Hata hili la kutumia akili tu ndogo ya kujuwa chanzo cha tatizo la kuharibiwa hiyo miundo mbinu ni kipi, huo uwezo pia huna? Ila unajuwa hawa waTanzania wametoka tu majumbani mwao na kuamua kwenda kuharibu miundo mbinu!
 
Kuna gharama za kurestore order.

Si ungi mkono mauwaji kwa namna yeyote ile , ila kilichotokea ni madhara ya maamuzi ambayo sio sahihi kwa wale waliofanya vurugu.

Kama ungepata fursa ya kuona kilichotokea ungekuja na mawazo mengine kabisa.

Wale vijana walikosea , walichokifanya kwa namna yeyote ile hakikuwa sahihi.

Adhabu ya serikali na nyumbani ni tofauti, ukitaka kuvuruga amani kwakweli utakumbana na wenye kazi zao.

Nashauri ipatikane njia nyingine ya kufikisha message kama ipo.

Maana so far hakuna theme ya hizo vurugu zinazofanyika, hakuna viongozi, kinachoonekana ni vurugu tu, hatuwezi endelea hivi.

Lazima ifahamike wanachotaka ni nini na wateue watu wa kuwasemea yafanyike majadiliano.

Ila vurugu tu bila kujua chanzo na suluhu hapana, tutakuwa Taifa la ajabu sana.
Sahihi 💯
 
Damu ni nafsi, Anyone who has ever pulled a trigger and shed blood under any authorized instructions. Hatakiwi kuishi tena Uraiani. Risasi ikitoka Moja tu zingine zitakuforce na kutaka muda woote hata zikiwa kindoo kizima.
 
Nashauri ipatikane njia nyingine ya kufikisha message kama ipo.
Ukiona hivyo, maana yake njia zingine zote zilisha shindikana
Lazima ifahamike wanachotaka ni nini
Mbona madai yao yamesemwa mara nyingi:-
1. Kukomesha utekaji na mauaji
2. Kukomesha wizi wa uchaguzi
3. Tume Huru ya Uchaguzi (siyo mzaha wa iNEC)
4. Katiba Mpya, hasa kwa mwelekeo wa Rasimu ya Warioba iliyosheni maoni, mapendekezo, na matakwa ya umma
5. Kukomesha ufisadi
6. Kukomesha uonevu kwa wananchi
 
Wanachochukia ni kwamba waandamanaji wasibebe silaha,wakibeba inakua changamoto maana watu watarushiana risasi na hao wanaojitapa hivyo kusababisha maafa.
Ngoja tuone 9D
 
Kwani hawa hawana familia zao? Yani sidhani kama wanastahili kufa hao ila zife familia zao ili na wao wapate uchungu. Wanapata wapi ujasiri wa kujitapa hivyo 😁
 
Back
Top Bottom