Picha: Waziri Mkuu Kassimu Majilwa akiwa na Paul Makonda mwenezi wa CCM taifa

Picha: Waziri Mkuu Kassimu Majilwa akiwa na Paul Makonda mwenezi wa CCM taifa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
20231102_153227.jpg
 
Kama nafsi zingekuwa na kioo hapo tungeona kila mmoja anamuazia mabaya mwenzie. Hivyo vicheko vinavyoonekana hapo vimebeba chuki isiyo kifani.
 
Mmoja anaonekana yuko more composed than the other!!
 
Ndio maana ukitumbuliwa wengine wanapata pressure,yani sakafu inanesa,sofa linanesa,hapo bado V8 liko nje linakoroma full AC...
 
Nadhani katika movies hili walamba Asali na CCM wamefanikiwa kuliko hata ile Royal Tour (Muitikio na kutoana kwenye reli huku kungefanikiwa kule ) sasa hivi kugekuwa kuna watalii watatu katika kila watanzania watano
 
Safi sana,kweli CCM wanacheza na akili za watu.... hii ni planned kabisa.
 
Hakuna rafiki wala adui wa kudumu kwenye siasa. Kazi Iendelee.
 
Huyu pm nae mtu wa ajabu sana manake amerusu yeye ageuzwe jalala... Hela kweli nzuri lakini ukijigeuza mtumwa wake utu wako unatoweka
 
Back
Top Bottom