Picha: Waziri Mkuu Kassimu Majilwa akiwa na Paul Makonda mwenezi wa CCM taifa


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi na Uenezi, Paul Makonda kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi na Uenezi, Paul Makonda, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)​
 
Ni kuchekeana ki ufitna tu hamna lolote.
 
Kessy anazungumza na boss wake
 
Sisi wanaccm ni wazee wa drama hapa ni drama tupu

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…